Yaani kofi kabisa 'zabu' hadi ukapepesuka mwanaume mzima na kukita kwene karo la ukoko! Aibu yako.
Makofi, matusi na masimango ni njia ama dawa ya kuboresha penzi.
Amekumiss kweli wala hakutanii.
Kwani wewe haujammiss? Wacha wee!
Jikaze urudishe mahusiano uone utakavyoona raha, hadi chozi kabisa la maji litakutoka kwa raha zako maana mmekamiana kama ma nzagambamamba na hautakuja tokeza tena jf kuanzisha uzi ama kurudia kuchezea shilingi chooni. Yaani utadhibitika na hautakuja kuachia ngazi tena maisha.