Tuliopigwa makofi na mademu zetu nakuachana ingia hapa

Tuliopigwa makofi na mademu zetu nakuachana ingia hapa

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu

Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu

Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mliachana kwa miaka mingap
 
Unazibuliwaje na demu? Unashika shingo kesho akikuona anakupa shikamooa
 
May be! but huwa sikurupuki ninapo tafuta mpenzi maana sipend muongeaji sana pia namsoma alivyo km nime kosea na plz haraka sana kabla mashetan ya kwao hajaya panda na mara huwa na win
Naisi nlikurupuka maana wangu alikua anaongea mfan hakuna

Mpaka naogopa kutembea nae
 
Naisi nlikurupuka maana wangu alikua anaongea mfan hakuna

Mpaka naogopa kutembea nae
Ha ha ha ha aaahhh polee! Ila lazima ujue mtu wako ana taka nini na mtu wa aina gani, na ujue jinsi ya kumtreat unapo fanya makosa! pia mara zote watu wanao wanao ongea sana hupenda kusikilizwa wao hvyo lazima ujue hilo.
 
Mpole je?
 
Ilibdi akupee mitamaaa kabisaa...dume bwegeee wee
Sio ubwege unaangalia gari lenyewe

Afu bora mt akwambie nakupija sio ule mda unabembeleza umelainisha mwili ndo unazabwa lazma ulie
 
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu

Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nitege ' mimacho ' yangu hapa niwaangalie na kuwafahamu Wanaume ' Mabwege Nazi ' ambao walipigwa ' Vibao ' na Mademu zao. Hivi kwa jinsi mfano nilivyo huyo Mwanamke ataanzia wapi kuinua mkono wake na kunipiga Kibao / Kofi? Kwanza ninavyojua Wanawake nao huwa wanaangalia na Sura za Wanaume wa kuwafanyia hivyo na wakikukuta au wakigundua Wewe ni ' Nyoro Nyoro / Legevu Legevu ' lazima watakutesa mno na utajuta hata Kuanzisha nae Mahusiano.
 
Back
Top Bottom