youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy.
Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana.
Sidhani kama kuna tiba special ila kuna dawa za kutuliza (utapewa dawa nyingi sana)
Meza kila dawa, ogea sabuni inaitwa Tetmosol, ukichelewa vipele vinakuja kwa speed sana.
Wiki ya pili hii naugulia vipele vya poxy. Vinawasha balaa niko indoor.
Ugonjwa hauui na unatibika ukiwahi hospital (unatesa sana)
Nimetumia dawa za hospitali sijui majina yake nimepona.
Ukiona vipele kama vina shimo katikati wahi mapema kabla havijasambaa.
Usigusane na mtu yeyote, kaa mbali na mikusanyiko,
Nb unaanzia kushambulia sehemu za siri (kwa wanawake ni hatari zaidi)
Kama umekutana nao tupe njia ulizotumia kujitibu
Picha kwa coment 👇👇👇