Tuliopitia haya maisha tunakumbuka nini na wapi?

Tuliopitia haya maisha tunakumbuka nini na wapi?

Tukuyu kwa bibi,mafuta ya taa yakiisha mnatumia kijinga Cha moto ....kupuliza ukimulikia sufuria kwenye mafiga matatu.Kuna maisha unapitia bas ukifikiria sana hapaswi nyumbu yeyote akuvuruge kichwa kabisa ...unaweza pita nae mazima.
 
Nimekumbuka mbali sana

Mzee alikua nayo home, ilikua akiniagiza tu kwenda kuikagua na kuifanyia usafi wa apa na pale basi jua kuna bonge la event linafuatia siku za karibuni vinginevyo tulikua tunaiwasha sana kwenye msiba, harusi na sherehe mbalimbali za kimila au kuwakodishia wavuvi.

Noma sana kitambo icho
 
Nashukuru sijawahi vunja hiyo glass ya chemli
Mimi Hiyo Imenisababishia Vipigo Mnoo Na Kuubughudhi Moyo Wangu,,My Lovely Mamii Akanipa Ridandasi Ya Kutoshika Tena,,,Sema Mimi Sio Chemli Tu,,Vyombo Vyote Vya Muundo Huo Sipatani Navyo Lazima Kiniponyoke Kivunjike Hadi Leo Hii Na Familia Yangu Ya Watoto Wangu Wawili Na Waifu.
 
Hahahaha unatetemeka au

Ila chemli iliheshimiwa sana..... Maisha ni safari ndefu

Ntanunua chemli kama ukumbusho wa nilikotoka
 
Back
Top Bottom