uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Vijijini bado zipo na pia katika baadhi ya maeneo zinatumika kama decorations(pambo)Zama za giza, tumepitia mengi. Hivi taa za chemli bado zipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijijini bado zipo na pia katika baadhi ya maeneo zinatumika kama decorations(pambo)Zama za giza, tumepitia mengi. Hivi taa za chemli bado zipo?
Nakumbuka nachingwea mitaa ya nyuma ya NR kule twisheni kwa braza Luwi akitufundisha hesabu miaka hiyo y 2000 na kitu..
Hahahaha unatetemeka au
Ila chemli iliheshimiwa sana..... Maisha ni safari ndefu
Ntanunua chemli kama ukumbusho wa nilikotoka
Unadhani Hata Kutetemeka Basi, Nadhani Huwaga Nikujiamini Kupita Kiasi,,Alafu Navielewaga Sana Vyombo Vya Muundo Huo, Ajabu Sasa Havinitaki KabisaHahahaha unatetemeka au
Ila chemli iliheshimiwa sana..... Maisha ni safari ndefu
Ntanunua chemli kama ukumbusho wa nilikotoka
Hahahaha basi waifu ana mind ukivunja afu ukute ndo kanunua yeye au zawadi ya harusi 😂😂Unadhani Hata Kutetemeka Basi, Nadhani Huwaga Nikujiamini Kupita Kiasi,,Alafu Navielewaga Sana Vyombo Vya Muundo,,Huo Ajabu Sasa Havinitaki Kabisa
Na Mara Nyingine Mimi Ndio Hununuaga Sana Yaani Nikiwa Kwenye Mihangaiko Na Fedha Ipo Akatize Mtu Au Nikatize Mahala Ambapo Wanauza Nikaona Iwe Chochote Chombo Chenye Muundo Huo Nikavutiwa Nacho Sijiulizi Mara Mbili,, Lazima Ninunue Waifu Huwaga Anasema Kwa Kuwa Mara Nyingi Unanunua Mwenyewe Wewe Zivunje Tuu.Hahahaha basi waifu ana mind ukivunja afu ukute ndo kanunua yeye au zawadi ya harusi 😂😂
Ungekuwa hununui hiyo kelele aseeh 😂 😂Na Mara Nyingine Mimi Ndio Hununuaga Sana Yaani Nikiwa Kwenye Mihangaiko Na Fedha Ipo Akatize Mtu Au Nikatize Mahala Ambapo Wanauza Nikaona Iwe Chochote Chombo Chenye Muundo Huo Nikavutiwa Nacho Sijiulizi Mara Mbili,, Lazima Ninunue Waifu Huwaga Anasema Kwa Kuwa Mara Nyingi Unanunua Mwenyewe Wewe Zivunje Tuu.
Mimi Kwenye Maisha Nashukuru Nimejaaliwa Ustaarabu Wa Kubeba Madhaifu Yangu Na Kujitahidi Kuyasahihisha Hata Kama Yanatokea Mara Mara Huwaga Naamini Si Mkamilifu Na Hii Inapelekea Napo Kutana Na Kiumbe Kama Mimi Huwaga Nasoma Madhaifu Ya Mtu Kuliko Chochote Kile Alafu Tunaishi,,Mungu Bingwa Kanijalia Hako Katalanta.Ungekuwa hununui hiyo kelele aseeh 😂 😂
Uko vizuri na hongera kwa hilo brotherMimi Kwenye Maisha Nashukuru Nimejaaliwa Ustaarabu Wa Kubeba Madhaifu Yangu Na Kujitahidi Kuyasahihisha Hata Kama Yanatokea Mara Mara Huwaga Naamini Si Mkamilifu Na Hii Inapelekea Napo Kutana Na Kiumbe Kama Mimi Huwaga Nasoma Madhaifu Ya Mtu Kuliko Chochote Kile Alafu Tunaishi,,Mungu Bingwa Kanijalia Hako Katalanta.
✊✊✊Cool!!Uko vizuri na hongera kwa hilo brother
VisiwaniWapi mkuu nazimisi sana😆🤣
Hiyo siyo Chemli, hiyo ni karabaiAseeh chemli nyumbn hiyo glass dada ndo ilikuwa kazi yake kuosha
Wengine marufuku kuishika
Ooh sawa sawa mkuuHiyo siyo Chemli, hiyo ni karabai
Tukuyu sehemu gani? Tukuyu ila pazuri,lazima nije niache nyumba pale ya kwenda kufikia.Tukuyu kwa bibi,mafuta ya taa yakiisha mnatumia kijinga Cha moto ....kupuliza ukimulikia sufuria kwenye mafiga matatu.Kuna maisha unapitia bas ukifikiria sana hapaswi nyumbu yeyote akuvuruge kichwa kabisa ...unaweza pita nae mazima.