Tuliopitia haya maisha tunakumbuka nini na wapi?

Tuliopitia haya maisha tunakumbuka nini na wapi?

ukipewa kazi ya kuliosha ujue familia haina mashaka na utendaji kazi wako
 
Sana mkuu,hivi viwanja pale mjini vinapatikana?hasa maeneo ya kutoka mjini kuelekea Makandana?
Vipo ila vimewaka bei, kuanzia 3m kuendelea..japo mi niliondoka kitambo kule....ila sijaacha kwenda msalimu Bibi
 
Vipo ila vimewaka bei, kuanzia 3m kuendelea..japo mi niliondoka kitambo kule....ila sijaacha kwenda msalimu Bibi
Kwa hiyo bei ni sahihi naona kama sio mbali na road,nilikua nikipita najiambia lazima nije nijenge nyumba moja huku... nikirudi lazima niende nikatafute.Ndagha kikolo
 
Kwa hiyo bei ni sahihi naona kama sio mbali na road,nilikua nikipita najiambia lazima nije nijenge nyumba moja huku... nikirudi lazima niende nikatafute.Ndagha kikolo
Enna Kalumbu...mi nikistaafu ndiyo nashuka kule....nami nipo kwenye process za kutafuta eneo kabisa
 
Tukuyu kwa bibi,mafuta ya taa yakiisha mnatumia kijinga Cha moto ....kupuliza ukimulikia sufuria kwenye mafiga matatu.Kuna maisha unapitia bas ukifikiria sana hapaswi nyumbu yeyote akuvuruge kichwa kabisa ...unaweza pita nae mazima.
Sawa Nkamu
 
Enna Kalumbu...mi nikistaafu ndiyo nashuka kule....nami nipo kwenye process za kutafuta eneo kabisa
Ni kutafuta mapema , nikipata hata kiwira pia haitokuwa mbaya sana ila mjini ndio target kalumbu.
 
Mama yangu alipewa chemli na baba yake, Chemli ya mjerumani toka enzi za mjerumani. Mimi sasa michezo michezo nasafisha si nikaiacchia chini, nje kwetu kulikuwa kumemwagwa changarawe/kokoto ndogondogo, nikasikia mbaaaa! Nililambwa bao la mgongo aisee sisahau.

Mama anadai kitu kimedumu miaka na miaka mimi ndio nakiharibu, asa jamani kila kitu si kina mwanzo na mwisho?
 
Kwenu mkiwa na chemli ya namna hii nyie ni madonn

Sisis wengine tulikuwa na na zile za kawaida za kupandisha na kushusha tambi
 
Back
Top Bottom