Tuliopitia haya maisha tunakumbuka nini na wapi?

Ni kutafuta mapema , nikipata hata kiwira pia haitokuwa mbaya sana ila mjini ndio target kalumbu.
Kiwira iwe kwenye lile daraja la Mungu kwa ng'ambo kule tafuta eneo kubwa lenye utulivu up-hill
 
Kiwira iwe kwenye lile daraja la Mungu kwa ng'ambo kule tafuta eneo kubwa lenye utulivu up-hill
Sawa sawa, ni pazuri pia...itakuwa hata bei zao ni nzuri.Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…