damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Ha ha haa watu mmeshaharibu huu uziHabari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
Unataka uwape niniMi namtafuta TUMAINI FLORIAN,RIZIKI FLORIAN waliishi sengerema then wakahama
Mi namtafuta Edina mwangalaba popote alipo my best fried.
Yupo mtaa huu huu kasoro nyumba analalamika mke anamtega na ukimkosa msubiri Alhamisi ataleta mrejeshoNamtafuta General Galadudu, tulipass out pamoja chuo cha jeshi monduli 1990, kama upo humu jitokeze tunatafutwa na mh. JPM kuna nafasi ya ukuu wa mkoa shy
aah! Alhamisi mbali mnooo.....mimi nashangaa anavozalilisha fani ya ujeda kweli, majeda huwa hawachelweshi mambo namna hii, bora angebakiaga tu kwenye ukopro.Yupo mtaa huu huu kasoro nyumba analalamika mke anamtega na ukimkosa msubiri Alhamisi ataleta mrejesho
Washakufa hao,,NAWATAFUTA NDUGU WAWILI LEONARD NA TADEI.HAWA NILISOMA NAO SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA MWAKA 1992.DARASA LA PILI.POPOTE WALIPO TUWASILIANE.
Duuh Mwanza to Dar kabadili jina ,,,Namtafuta shost angu Badaka Sende mara ya mwisho tulikua mwanza mwaka 2000 nasikia yupo dar anatumia jina Getrude John