Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

Namtafuta ndugu yangu MILIONI MIA sijaonana nae hata mara moja japo nasikiwa watu wakimtaja taja kuwa huwa anawapitia pitia, ila sijabahatika kukutana nae. Tafadhali sana ndugu yangu pindi usomapo nakuomba unitembelee na mie japo nifarijike, nakukosa sana[emoji17] [emoji17]
 
Namtafuta MATILDA PETER (MAKI)

Ya kale hayanuki.
 
NAWATAFUTA NDUGU WAWILI LEONARD NA TADEI.HAWA NILISOMA NAO SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA MWAKA 1992.DARASA LA PILI.POPOTE WALIPO TUWASILIANE.
 
Jamanii mbona mie sitafutwi..?

Basi namtafuta Mzee Richard stika (baba mbulu/mabula) Kimwaga upo wapi ????
 
Namtafuta manumbu huyu tulisoma naye vidudu pale mwembeni (ambayo saivi ni mwembeni secondary) Musoma mwaka btn 1988 and 1989
 
Namtafuta General Galadudu, tulipass out pamoja chuo cha jeshi monduli 1990, kama upo humu jitokeze tunatafutwa na mh. JPM kuna nafasi ya ukuu wa mkoa shy
 
Hung (pink rose) Saigon 1975 ntakupata wap maana hapa sio last hope ila nabeep tu
 
Taarifa kwa wale wote waliotajwa hasi jinsia ya me kama wameisha oa bas nyie wake chupi zisiwabane kwa wivu inaonesha walitoka mbali. Na vile watu wametajwa kwa majina halisi tuviumiliane hapa kuna harufu ya ndoa kuvunjika.
 
Namtafuta General Galadudu, tulipass out pamoja chuo cha jeshi monduli 1990, kama upo humu jitokeze tunatafutwa na mh. JPM kuna nafasi ya ukuu wa mkoa shy
Yupo mtaa huu huu kasoro nyumba analalamika mke anamtega na ukimkosa msubiri Alhamisi ataleta mrejesho
 
Yupo mtaa huu huu kasoro nyumba analalamika mke anamtega na ukimkosa msubiri Alhamisi ataleta mrejesho
aah! Alhamisi mbali mnooo.....mimi nashangaa anavozalilisha fani ya ujeda kweli, majeda huwa hawachelweshi mambo namna hii, bora angebakiaga tu kwenye ukopro.
 
Back
Top Bottom