Lydia yule wa Tanga School?Mimi namtafuta LYDIA NTAPARA mara ya mwisho alikuwa mwalimu mikese morogoro. Nakutafuta we bidada
Exactly mkuu. Wajua alipo?Lydia yule wa Tanga School?
Kuna grupo kny facebook linaitwa Tanga Tech,ingia kule au ntakuulizia nikupe jibuExactly mkuu. Wajua alipo?
Situmii facebook..naomba uniulizie. Thank youKuna grupo kny facebook linaitwa Tanga Tech,ingia kule au ntakuulizia nikupe jibu
Situmii facebook..naomba uniulizie. Thank you
Ni kweli..Ndio maana hukutani na wapendwa wako wa zamani
Sijui hata nimkumbuke nani
Unanikonga moyo sana, punguza dozí mama 😀 😀Itabidi nipunguze dozi ya limbwata sasa, maana mmmh!
Hahaha mkuu we acha najuana nae huyo mdada. Hata mm nilitamani sana kua mwalimu nikakosa fursaDegree ya Ualimu imefanyaje?
Nasikia harufu ya pesaNamtafuta miss chagga
Haya sasa mmekutana kajikubushiane ya long time...Ndio baba B nimekutafuta sanaaa Asante Mungu leo nimekupata