Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

Daaah mimi namtafuta mdada mmoja hivi anaitwa johari salim mijinga alisoma st.marks popote ulipo nicheck
 
Namtafuta Queen wa kibangu,ananywele kaa za kisomari,alikua form two kipindi napotezana nae mwaka2012!! Popote ulipo
 
Mie nawatafuta wale wote tuliosoma Airwing secondary school mwaka 2004. .pale banana dsm
 
Namtafuta Rafiki yangu Asma Ibrahim. Tulipotezzna tukiwa darasa la nne akahama shule. plz nicheck kama upo humu
 
NATAFUTA YEYOTE ALIYESOMA HIGHLANDS SEC SCHOOL..WAKATI WA HEADMASTER ...CHAUDHRY....AU ANGALAU KUANZIA MR.SHEIKH
 
Dah ... mimi namtafuta Valentina nilikutana naye Arusha wakati wa uzinduzi wa Azimio la Arusha
 
Dah..Mpenzi Zulfa mara ya mwisho ulinionyesha pichu yako na Mimi kwa kutaka sifa nikaenda kutangaza na kujisifu kwa washikaji kwamba umenionyesha pichu yako na huu ukawa mwisho wetu na mpaka Leo sijakutia machoni tens..hiyo ilikuwa 1995
 
Ndio baba B nimekutafuta sanaaa Asante Mungu leo nimekupata
Haya sasa mmekutana kajikubushiane ya long time...
Ndio maan michepuko haiishi jamani mtu akikutana na Ex wake wengi wao wanajikumbushi si bora uolewe na huyo ex wako..
 
Huu ukurasa unanilimit kuandika majina ya watu niliyo potezana nao ni wengi sana..
Naitwa tajiri mtoto D
#Nawatafuta kama chozi la samaki
 
Back
Top Bottom