hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Mwaka gan na sengerema sehem ganMi namtafuta TUMAINI FLORIAN,RIZIKI FLORIAN waliishi sengerema then wakahama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gan na sengerema sehem ganMi namtafuta TUMAINI FLORIAN,RIZIKI FLORIAN waliishi sengerema then wakahama
Kama sikosei,1999 or 2000,sengerema mtaa karibu na bwawan guest house (national) ila nilisikia baba yao alifariki.Mwaka gan na sengerema sehem gan
Namtafuta manumbu huyu tulisoma naye vidudu pale mwembeni (ambayo saivi ni mwembeni secondary) Musoma mwaka btn 1988 and 1989
Abiyudi Lefi na January Kazonda walisoma Muslim School 1966 Moshi
Mie namtafuta AMON.....yani sijui sir name yake .....ila mie ni yule wa udsm kipindi 2008/2009........
Hee [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ni wewe[emoji7]Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Wewe anita ulisoma Tabora?amani iwe kwenu.
si vibaya tukakutana na ndg na marafiki tuliopoteananao. binafsi kuna watu nawasaka sana. yani nimewagogle kila kona bila mafanikio mwingne nikamkuta fb lkn acc yake haipo active.
NAMTAFUTA CHRISTINA NGATA/MRS KIDAYA AU SHAMSA, ROSE MHAIKI MTOKAMBALI NA ZITHA MVULA/ MAMA DUBOUS .popote mlipo jamani nawasaka km miguu ya nyoka.
Ana ndugu Dodoma?Mi namtafuta sana Janeth Mongi alikuwa anafanya kazi Tigo office za Tanga mjini, namtafuta sana huyu Bi. Dada
Ulimaliza mwaka gani?I thank God for this..lol
Namtafuta DIANA TAIDINI nimesoma nae Bunge Primary school
Shoga we need to meet..I miss u oohhhh
Rafiki nipo hapa!
Sijajua kama ana ndugu Dodoma.! Unamfahamu nini Mkuu.?Ana ndugu Dodoma?
Umenikumbusha mbali
Wewe anita ulisoma Tabora?
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G