Tuliopoteana tukutane hapa

Tuliopoteana tukutane hapa

Namtafuta manumbu huyu tulisoma naye vidudu pale mwembeni (ambayo saivi ni mwembeni secondary) Musoma mwaka btn 1988 and 1989


Hahahahahahahahaha....Dah mkuu una kumbukumbu sana mpaka vidudu aisee mimi siwakumbuki hata sura zao zipo vipi
 
Namtafuta GIFT MUSHI mtoto wa Parish worker (sina hakika kama nimespell sawa sawa) wa KKKT KBK DODOMA nakutafuta sana,
 
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Hee [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ni wewe[emoji7]
 
Jamani uzi kama unaona hauwez kumsaidia mtu ni bora ukapita kimyakimya plz
 
amani iwe kwenu.
si vibaya tukakutana na ndg na marafiki tuliopoteananao. binafsi kuna watu nawasaka sana. yani nimewagogle kila kona bila mafanikio mwingne nikamkuta fb lkn acc yake haipo active.
NAMTAFUTA CHRISTINA NGATA/MRS KIDAYA AU SHAMSA, ROSE MHAIKI MTOKAMBALI NA ZITHA MVULA/ MAMA DUBOUS .popote mlipo jamani nawasaka km miguu ya nyoka.
Wewe anita ulisoma Tabora?
 
Namtafuta MAMA SAMIHA SULUHU, kuanzia nimemuona kwenye kampeni jimboni kwetu,nlikuja tena nkamuona kwenye tv cku ya kuapishwa na mpaka leo sijamuona tena. Namkumbusha zile ahadi alizotupea pale uwanja wa mpira
 
namtafuta Suaka Futapumbu Kamba ..tulikuwa tunapiga nae dope miaka ya 92 ngaramtoni arusha. ujumbe nilishaacha
 
Mie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G

Daaaah sijui nijipe jina la Goodluck Emmanuel nifaidi huu utamu
 
Back
Top Bottom