Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

Unapenda mno Kunishobokea utadhani Mimi ni Bwana wako / Basha lako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
GENTAMYCINE kuna kitu hakipo sawa kwenye maisha yako tafuta mtaalamu wa Saikolojia akutibu. Afya yako ya akili haipo vizuri. Unapenda sana kujisifia na kutukanwa humu jaribu kukumbuka maisha yako ya utotoni yalikuwa vipi ? samahani kama nitakuwa nimekukwaza
 
Mbona mnamwandama mtani wangu GENTAMYCINE ?
1. Kuna member kamuite eti ni..king of shits

2. Manyanza naye anaaema eti ni mgonjwa akili.

Mazee mnanikwaza kumwandama mtani
 
Mkuu Glenn habari yako ?
Huyu Jamaa hayuko sawa kisaikolojia. believe my words hata mimi ninaweza kumjenga kiakili
 
Nimekutia timu sikukupata wewe ni mtu muimuuu.
Nitakuraje bataaaa tajiri,,,,,,,,,,,,, una baya 🎢🎢🎢🎢🎢🎡
 

Attachments

  • 20230711_135614.jpg
    299.9 KB · Views: 2
Usijifanye mjinga rudia tena kusoma hiyo post kwa jicho la 3
Akili yangu imechoka Mkuu. Amini maneno yangu kuna shida kubwa sana kwa huyu Jamaa. Wapo wengi sana humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnasema yanga ina ukata ndo maana haisajili, sasa hivi Yanga walifungiwa kusajili, alafu mnasema tena fabrice ngoma alikuja kusajiliwa na yanga ila simba ikamuwai
 
Mnatulia nini habari zenu tunazijua sababu ya boss wenu (mzee wa kucheka cheka)na machawa wake ambao hawana siri wekeni mzigo mezani
 
Mnatulia nini habari zenu tunazijua sababu ya boss wenu (mzee wa kucheka cheka)na machawa wake ambao hawana siri wekeni mzigo mezani

Yaani habari za Yanga uijue ww Kolo FC.......... haya vipi na hiyo nayo unaijua.

Halafu kwa hiyo na wewe chawa?
 
View attachment 2684988
Yaani habari za Yanga uijue ww Kolo FC.......... haya vipi na hiyo nayo unaijua.

Halafu kwa hiyo na wewe chawa?
Issue alioandika mbona iko kwenye social media
Habar za bosi wenu kulia lia kuweka mzigo chawa wenu wanaojifanya uto kindaki ndaki wanatuambia tukiwa nao mitaani btw namiliki chawa na hata wewe naweza kukumiliki vile vile
 
Anza kumrekebisha Kwanza Basha wako ndipo uje Kwangu nina Akili Kubwa kuliko wana Ukoo wako Wote hadi Juha ( Nut ) Wewe sawa?
 
Mbona mnamwandama mtani wangu GENTAMYCINE ?
1. Kuna member kamuite eti ni..king of shits

2. Manyanza naye anaaema eti ni mgonjwa akili.

Mazee mnanikwaza kumwandama mtani
Hakuna wa Kuniweza hapa JamiiForums ndiyo maana unaona hawa Wote wanaopambana nami wanalazimika kutumia Multiple ID's zao Kunishambulia Kutwa ila Mwanamume Jeshi la Mtu Mmoja GENTAMIYCINE nawakabili vilivyo kwa kutumia ID yangu hii hi tu. Kudadadeki....!!

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…