Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Asante sanaPole sana mkuu ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaPole sana mkuu ๐ ๐ ๐ ๐
Nilishampa Dozi yake labda hujaiona tu.Mtani kuna mjinga amekuita " the king of shits" SIJAPENDA
Unapenda mno Kunishobokea utadhani Mimi ni Bwana wako / Basha lako.Ni mtu wa kuwapanga wajinga na wapumbavu ili wamuone anayajua mengi. Tatizo hana msimamo na kumbukumbu juu ya hoja zake. Alisema sababu kubwa ya Yanga kushindwa kusajili na ukata hivyo wametoa jezi mapema ili ipate ela. Lakini cha ajabu kajisahau anakuja na habari za kufungiwa kusajili
Kumbe tumetanguliza Kutoa Jezi zetu Mbaya ili tupate Pesa ya Usajili?
Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA wasitufungie kabisa Kusajili na kwa upande wa Wachezaji waliobakia ( ila tunawahitaji ) na wale Wapya...www.jamiiforums.com
Nakumaind sana wewe mzeeNilishampa Dozi yake labda hujaiona tu.
Lini umeona mimi nakutukana kama sio wewe kunishushia matusi
Hongera kwa Kujiteua kuwa Msemaji wangu Tukuka kabisa hapa JamiiForums.Hua unayapokea kwa mikono miwili, halafu kuna jamaa alinieleza hua anacomment makusudi ili atukanwe ujue kuna watu wanafurahia kutukanwa
Mbona mnamwandama mtani wangu GENTAMYCINE ?๐๐๐๐
GENTAMYCINE kuna kitu hakipo sawa kwenye maisha yako tafuta mtaalamu wa Saikolojia akutibu. Afya yako ya akili haipo vizuri. Unapenda sana kujisifia na kutukanwa humu jaribu kukumbuka maisha yako ya utotoni yalikuwa vipi ? samahani kama nitakuwa nimekukwaza
Akili yangu imechoka Mkuu. Amini maneno yangu kuna shida kubwa sana kwa huyu Jamaa. Wapo wengi sana humu ๐๐๐Usijifanye mjinga rudia tena kusoma hiyo post kwa jicho la 3
Haya naona unajifanya unazijua habari za Yanga,boss kanuna hebu tupe za ndani nini kimemfanya mpaka kutamani afikie uamuzi huo.Hongera kwa Kujiteua kuwa Msemaji wangu Tukuka kabisa hapa JamiiForums.
Mnatulia nini habari zenu tunazijua sababu ya boss wenu (mzee wa kucheka cheka)na machawa wake ambao hawana siri wekeni mzigo mezaniUtazani mnashare account moja na huyo boss wetu, kweli ukitaka habari za Yanga muulize Kolo FC.Halafu si wenyewe tumetulia ,hatufanyi vitu kwa presha.Nyie haki yenu kuwa na presha msimu wa pili hamkutoka na kitu na mtapagawa zaidi baada ya hao mlio wasajili wakiwa kinyume na matarajio yenu makubwa mlio jiwekea kichwani.
Mnatulia nini habari zenu tunazijua sababu ya boss wenu (mzee wa kucheka cheka)na machawa wake ambao hawana siri wekeni mzigo mezani
Issue alioandika mbona iko kwenye social mediaView attachment 2684988
Yaani habari za Yanga uijue ww Kolo FC.......... haya vipi na hiyo nayo unaijua.
Halafu kwa hiyo na wewe chawa?
Anza kumrekebisha Kwanza Basha wako ndipo uje Kwangu nina Akili Kubwa kuliko wana Ukoo wako Wote hadi Juha ( Nut ) Wewe sawa?๐๐๐๐
GENTAMYCINE kuna kitu hakipo sawa kwenye maisha yako tafuta mtaalamu wa Saikolojia akutibu. Afya yako ya akili haipo vizuri. Unapenda sana kujisifia na kutukanwa humu jaribu kukumbuka maisha yako ya utotoni yalikuwa vipi ? samahani kama nitakuwa nimekukwaza
Hakuna wa Kuniweza hapa JamiiForums ndiyo maana unaona hawa Wote wanaopambana nami wanalazimika kutumia Multiple ID's zao Kunishambulia Kutwa ila Mwanamume Jeshi la Mtu Mmoja GENTAMIYCINE nawakabili vilivyo kwa kutumia ID yangu hii hi tu. Kudadadeki....!!Mbona mnamwandama mtani wangu GENTAMYCINE ?
1. Kuna member kamuite eti ni..king of shits
2. Manyanza naye anaaema eti ni mgonjwa akili.
Mazee mnanikwaza kumwandama mtani