Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

Mtani wewe killaza sana acha utataπŸ˜‚
 
Issue alioandika mbona iko kwenye social media
Habar za bosi wenu kulia lia kuweka mzigo chawa wenu wanaojifanya uto kindaki ndaki wanatuambia tukiwa nao mitaani btw namiliki chawa na hata wewe naweza kukumiliki vile vile
Machawa hao wakina nani?Social media ndio chanzo chako hata mimi nina acc yangu social media,hii tunayo itumia nayo ni social media.

Nimekuuliza swali vipi na hii habari ulikuwa hauijui au huko Kolo FC hamna chawa.
 
Watu wa mikoani na redio ni kama mlokole na suruali ya kitambaa
 
Wewe hujielewi na hao EFM, yaani ulicho kiandika mchana na sasa hivi baada Yanga kumtangaza Mchezaji mpya ni vitu viwili tofauti.
 
GENTAMYCINE anahitaji msaada wa kisaikolojia
 
Mtani wewe killaza sana acha utataπŸ˜‚
Ana shida sana huyo Mtani wako. It seems maisha take ya utotoni alikuwa anafanywa kichekesho na wenzake na alionekana ni mtu ambaye alinyanyasika sana katika makuzi take na ndio maana Ana tabia za ajabu sana humu mtandaoni. Majigmbo na matusi hapohapo.😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…