Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

Hakuna wa Kuniweza hapa JamiiForums ndiyo maana unaona hawa Wote wanaopambana nami wanalazimika kutumia Multiple ID's zao Kunishambulia Kutwa ila Mwanamume Jeshi la Mtu Mmoja GENTAMIYCINE nawakabili vilivyo kwa kutumia ID yangu hii hi tu. Kudadadeki....!!

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
Mtani wewe killaza sana acha utata😂
 
Issue alioandika mbona iko kwenye social media
Habar za bosi wenu kulia lia kuweka mzigo chawa wenu wanaojifanya uto kindaki ndaki wanatuambia tukiwa nao mitaani btw namiliki chawa na hata wewe naweza kukumiliki vile vile
Machawa hao wakina nani?Social media ndio chanzo chako hata mimi nina acc yangu social media,hii tunayo itumia nayo ni social media.

Nimekuuliza swali vipi na hii habari ulikuwa hauijui au huko Kolo FC hamna chawa.
Screenshot_20230711_142046_Instagram.jpg
 
"Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC.

Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll

GENTAMIYCINE huwa siji na Taarifa nisiyokuwa na uhakika nayo kwa 100% na sikupewa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa Jamiiforums Msimu wa 2022 / 2023 Kimakosa.

Haya wale Wote mlionitukana na hata Kuwatukana Wengine juu ya Kusema kuwa Yanga SC ilifungiwa Kusajili na FIIFA kutokana na Kudaiwa na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymael mtuombe Radhi haraka na ikiwezekana pia mtupigie Salute.

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
Watu wa mikoani na redio ni kama mlokole na suruali ya kitambaa
 
Wewe hujielewi na hao EFM, yaani ulicho kiandika mchana na sasa hivi baada Yanga kumtangaza Mchezaji mpya ni vitu viwili tofauti.
 
Ni mtu wa kuwapanga wajinga na wapumbavu ili wamuone anayajua mengi. Tatizo hana msimamo na kumbukumbu juu ya hoja zake. Alisema sababu kubwa ya Yanga kushindwa kusajili na ukata hivyo wametoa jezi mapema ili ipate ela. Lakini cha ajabu kajisahau anakuja na habari za kufungiwa kusajili

GENTAMYCINE anahitaji msaada wa kisaikolojia
 
Mtani wewe killaza sana acha utata😂
Ana shida sana huyo Mtani wako. It seems maisha take ya utotoni alikuwa anafanywa kichekesho na wenzake na alionekana ni mtu ambaye alinyanyasika sana katika makuzi take na ndio maana Ana tabia za ajabu sana humu mtandaoni. Majigmbo na matusi hapohapo.😭
 
Back
Top Bottom