Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kabisa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana MMU.Hongera Sana mkuu.
Binafsi baada ya kukumbana na Uzi wa NoFab challenge niliupenda Sana na nikaamua kuufanyia majaribio kwa kuzingatia Sheria zilizowekwa.
Kweli nimejitahidi kuepukana na ngono kwa muda wa wiki mbili ila leo nimeamua kusalimu amri wakuu.
Ni siku 14 tu sijasex na mwanamke ila ugwadu ninaohisi sio wa kitoto.Nilikuwa nimezoea kula mbususu angalau Mara 3 kwa wiki kwa hiyo hizi siku 14 nimeziona Kama miezi 3 Yaani,khaa!
Ndani ya hizo wiki 2 jogoo wangu amekuwa akipanda mtungi hovyo hovyo especially kila ninapopishana na wanawake wazuri wazuri. Ukizingatia pia sehemu nakofanyia kazi pamejaa pisi kali Kali kwahiyo vishawishi vimekuwa vingi mpaka nimeshindwa kuendelea ku- abstain.
Kiukweli mwenzenu damu inanichemka Sana na nimeamua kumtumia mwanamke wangu nauli aje kwangu baadae tupige show maana nimemiss Sana utelezi. Members wa NoFab challenge naomba mnisamehe katika hili nyie endeleeni tu ku- abstain.
Pia soma: Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge