Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa

Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa

Nimeikuta Humu Humu JF hii challenge ya NOFAB..

NOFAB--Eti Nikitendo cha Mtu kukaa takribani miezi 6 au mpk mwaka bila kula mbususu (sex) (Kwajinsi nilivoelewa)

Nimejaribu kutafuta faida zake but sijaona wakieleza...Embu nijuzeni faida zake....

Yani inaleta mat0keo gani mwilini Au Kuna changes gani Mwilini Ukikaa no fab?...Kuna mabadiliko gani Ukikutana na demu after nofab (hio miezi 6 sijui mwaka....)

Nijuzeni Ili niwe mwanachama kama Kuna faida njee ya kutokula tu mbususu.....
 
Faida zipo nyingi tu kwanza unafanya mwili kuwa na nguvu,stamina,active,na umakini unaongezeka kichwani pili unaimarisha nguvu zako za kiroho pia unafanya roho yak kuw safi asije kudanganya mtu Duniani uzinzi unachafu sana roho Ata ukiwa unafanya Sala na ibadi inakuwa kazi Bure.pia Kam ni wew mnzizi ikitokea umepewa madawa ya asili utumie hasa yanayousiana na kupingana na manguvu ya kishetani mfano uchawi majini,Kun madawa hayawez kufanya Kaz kamwe
 
Kwa atayefikisha siku 90 aje alete mrejesho. Then kuna maelezo nitampa ya namna ya kuitumia hiyo nguvu kwa kuigeuza kuwa brain power. Ina maanufaa mengi na unaweza kuitumia kwemye mambo mengi pia ila mimi nitagusa kwenye hiyo angle.
Ebu anzisha Uzi mkuu kbsàa kuleta hamasa zaidi
 
Faida zipo nyingi tu kwanza unafanya mwili kuwa na nguvu,stamina,active,na umakini unaongezeka kichwani pili unaimarisha nguvu zako za kiroho pia unafanya roho yak kuw safi asije kudanganya mtu Duniani uzinzi unachafu sana roho Ata ukiwa unafanya Sala na ibadi inakuwa kazi Bure.pia Kam ni wew mnzizi ikitokea umepewa madawa ya asili utumie hasa yanayousiana na kupingana na manguvu ya kishetani mfano uchawi majini,Kun madawa hayawez kufanya Kaz kamwe
Uongo mtupu
 
Nimepata safari ya mwezi mzima mkoani..hapa nakata wiki sasa sijateleza..ila naona mkunyenye kila muda unataka kutoboa suruali...sijui nitatoboa huu mwezi bila utelezi...ngoja tuone.

#MaendeleoHayanaChama
 
If you want to see how powerful you can be as a man, reject a woman who begging your for it.

Keep your priorities no matter what, she will desire you even more and you won't care because you are living your purpose.
 
Most men who come to NoFap or semen retention do so for health reasons.

They're not religious or even spiritual.

People have healed this way but I propose the idea to you that cultivating faith in God can only help you in your journey.
 
Nilisha semaga No Fap ni sawa na kusukuma ukuta,
Punyeto ni spirit usitumie nguvu ya mwili kupambana nayo, ikikukosa mchana itakufata usiku kwenye ndoto

Pili , ule mshindo na mauza uza ya Punyeto na Videos za Ex - hutakaa uyaone katika real life.

Tatu , Hutakaa uzimalize Tamaa na hutakaa uurizishe moyo wako, Let it go

Nne , Fata falsafa za Yesu kwa kusoma Biblia ili kushinda hii battle
 
Mkuu, nilivumilia siku nne tu! Nikawa nimetulia zangu mlangoni kwangu asubuhi, akapita mwanadada mmoja kajifunga khanga tu, ile khanga ikateleza nikaiona mbususi, alikuwa hajavaa kitu ndani, ni khanga na kibode! Chap nikakimbilia ndani kuangaza sabuni iko wapi, chaaap! niliwamimina ndani ya sekunde tatu! waaaaa! Nikahisi ahueni!

Nimebaki na app yao tu, naona siku zinavyozidi kwenda napewa hongera kwa kustep stage na maneno ya kuincourage! Nabaki nacheka tu!

Mkuu tuko pamoja, wala usijilaumu!
😂😂 Ulitisha Sana mkuu
 
Back
Top Bottom