Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa

Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa

Jifunze kula mbususu bila kupizi,...unapiga dry orgasm wazungu unawarudisha mwilini ...unaweza kusex hata 3 times a week unapizi kila Baada ya siku Kumi au 30 depending on your age....ukiipigia tizi unaweza ila uwe na uvimilivu...faida yake kubwa hauzeeki mwili...unzeeka mfupa tu...unakuwa na nguvu ya mwili, more creative, youthful look, ...na unamsaidia mkeo kupanga uzazi baadala ya kutumia zile njia zao...hata mimba za kussingiziwa hamna...you have kids with the woman you want sio kutegeshewa...

Kupizi kunazeesha ....let's learn how to conserve energy.
 
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu @ bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kbsa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana MMU.Hongera Sana mkuu.

Binafsi baada ya kukumbana na Uzi wa NoFab challenge niliupenda Sana na nikaamua kuufanyia majaribio kwa kuzingatia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nipe funzo mkuu.
Hii njia zake ni za kawaida na zinajulikana, ingawa watu huzitumia kwa dhamira tofauti. Kuna ile namna ya kufanyia massage dhakari ambayo watu wengi wanaitumia kuongeza stamina na pia nyingine ni kukojoa kwa kuzuia mkojo (watu wanaiita kegel). Haya mazoezi yote yana faida pia kwenye kuipalilia hiyo sex energy na hisia zikiamka zinaamka haswa kwahiyo unatakiwa uwe unauwezo 'haswa' wa kujizuia.
 
Mkuu, nilivumilia siku nne tu! Nikawa nimetulia zangu mlangoni kwangu asubuhi, akapita mwanadada mmoja kajifunga khanga tu, ile khanga ikateleza nikaiona mbususi, alikuwa hajavaa kitu ndani, ni khanga na kibode! Chap nikakimbilia ndani kuangaza sabuni iko wapi, chaaap! niliwamimina ndani ya sekunde tatu! waaaaa! Nikahisi ahueni!

Nimebaki na app yao tu, naona siku zinavyozidi kwenda napewa hongera kwa kustep stage na maneno ya kuincourage! Nabaki nacheka tu!

Mkuu tuko pamoja, wala usijilaumu!
Ebo! Hapa nimekuelewa Sana mkuu,, tuendelee kuwala tu hatuna budi.
 
Mimi sikula mbususu kwa miezi miwili kutokana na ajira yangu ya muda fulani katika kijiji fulani ndani ya mojawapo ya kisiwa cha Jamhuri ya Muungano wa Maalimu JK Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.

Mazingira yalinibana na hakukuwa na uwezekano wowote wa kupata mbususu kutokana na jamii iliyopo katika kijiji hiki.

So baada ya kurudi town na ugwadu wangu. Nikapiga mbususu nilijikuta nabiga bao moja la nguvu kisha mnyama akasizi kabisa kasahau gemu. Nikawa nimeishia kimoko. Baada ya siku tatu naona ziii hata haisimami ikabidi nichukue hatua mkononi kama kubusti. Baada ya hapo ndio nikarudi kwenye hali ya kawaida.

So nyie mtakaoweza kumaliza mwaka sijui itakuwaje?
[emoji23][emoji23]Dah!
 
Jifunze kula mbususu bila kupizi,...unapiga dry orgasm wazungu unawarudisha mwilini ...unaweza kusex hata 3 times a week unapizi kila Baada ya siku Kumi au 30 depending on your age....ukiipigia tizi unaweza ila uwe na uvimilivu...faida yake kubwa hauzeeki mwili...unzeeka mfupa tu...unakuwa na nguvu ya mwili, more creative, youthful look, ...na unamsaidia mkeo kupanga uzazi baadala ya kutumia zile njia zao...hata mimba za kussingiziwa hamna...you have kids with the woman you want sio kutegeshewa...

Kupizi kunazeesha ....let's learn how to conserve energy.
What a pretty comment that was! Ila Hilo la kurudisha wazungu mwilini linawezekanaje mkuu maana mi nahisi Kama wakishaanza kumiminika Ni wanakujaga mazima Yaani hawanaga reverse gear.

Naomba unipe mbinu jinsi ya kufanya dry orgasm pliz
 
Utakuwa na tatizo, au wewe ni mmoja ya ambao wameshindwa ku_abstain.

Wakati mwingine tumia logic ya kawaida kufanya reasoning... Kinachofanyika hapo ni conservation of energy kwahiyo kama hauna hiyo energy unategemea utafanya conservation ya kitu gani? Nadhani utakuwa umepata jibu.

Na pia kuweza kuibadilisha hiyo energy ili kuongeza efficiency ya akili yako haitakufanya wewe kuwa genius (kama wewe sio genius), kitakacho fanyika ni kukubadilisha na kuwa the best version of yourself.

Sexual energy ni moja ya potent energies ambazo zikitumika ipasavyo zinaweza kufanya makubwa. Mfano mzuri, kuna uzi ulishawahi kuletwa na Mshana Jr kuhusiana na maji na mafuta ya upako (siukumbuki vizuri una heading gani), kuna mahali kwenye ule uzi ukisoma utaona ni namna gani hao wanaojiita mitume/manabii wanafanya manipulation ya hiyo sexual energy.
Acha kuelimisha jinga lisilo tayari kufungua akili kufatilia mambo na kusoma vitabu
 
Mnajazana ujinga TU
Mahanisi wote wangekua majiniasi[emoji4]
Wanataka wapingane na Mungu, kuumba jinsia alimaanisha tuwalale wanawake na sio kuwaescape, haya machallenge ya wazungu huwa na malengo ya kuzalisha mashoga&wasagaji[emoji23].

No wonder mwanaume ukwepe sex then what next kama sio kutafta balaa tu la upinde wa mvua
 
Mimi sikula mbususu kwa miezi miwili kutokana na ajira yangu ya muda fulani katika kijiji fulani ndani ya mojawapo ya kisiwa cha Jamhuri ya Muungano wa Maalimu JK Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.

Mazingira yalinibana na hakukuwa na uwezekano wowote wa kupata mbususu kutokana na jamii iliyopo katika kijiji hiki.

So baada ya kurudi town na ugwadu wangu. Nikapiga mbususu nilijikuta nabiga bao moja la nguvu kisha mnyama akasizi kabisa kasahau gemu. Nikawa nimeishia kimoko. Baada ya siku tatu naona ziii hata haisimami ikabidi nichukue hatua mkononi kama kubusti. Baada ya hapo ndio nikarudi kwenye hali ya kawaida.

So nyie mtakaoweza kumaliza mwaka sijui itakuwaje?
Mm mwenyewe nikikaaga muda mrefu bila sex ..yani hali ndo inakuwa kinyume. .nikipiga moja tuu baasi...tofauti na nikiwa na sex mara kwa mara
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nishasema challenge hizo za kipuuzi tu. Haiwezekani uwe rijali halafu eti ujiamulie kukaa eti miezi mitatu hujagusa mbususu.

Miezi mitatu tu..akati watu mwaka unaanza tumesexonly once afu barida tu..acha mawazo ya zinaa fanya kazi mkuu[emoji23]
 
Kwa atayefikisha siku 90 aje alete mrejesho. Then kuna maelezo nitampa ya namna ya kuitumia hiyo nguvu kwa kuigeuza kuwa brain power. Ina maanufaa mengi na unaweza kuitumia kwemye mambo mengi pia ila mimi nitagusa kwenye hiyo angle.

Hebu leta nondo mkuu tafadhwali mkuu[emoji1488]
 
Back
Top Bottom