Kumbe siri iko hapa!Mkuu unafanya mazoezi?
Kama hufanyi mazoezi hii challenge huiwezi kaa pembeni kabisa ....
Faida zipo nyingi tu kwanza unafanya mwili kuwa na nguvu,stamina,active,na umakini unaongezeka kichwani pili unaimarisha nguvu zako za kiroho pia unafanya roho yak kuw safi asije kudanganya mtu Duniani uzinzi unachafu sana roho Ata ukiwa unafanya Sala na ibadi inakuwa kazi Bure.pia Kam ni wew mnzizi ikitokea umepewa madawa ya asili utumie hasa yanayousiana na kupingana na manguvu ya kishetani mfano uchawi majini,Kun madawa hayawez kufanya Kaz kamweNimeikuta Humu Humu JF hii challenge ya NOFAB..
NOFAB--Eti Nikitendo cha Mtu kukaa takribani miezi 6 au mpk mwaka bila kula mbususu (sex) (Kwajinsi nilivoelewa)
Nimejaribu kutafuta faida zake but sijaona wakieleza...Embu nijuzeni faida zake....
Yani inaleta mat0keo gani mwilini Au Kuna changes gani Mwilini Ukikaa no fab?...Kuna mabadiliko gani Ukikutana na demu after nofab (hio miezi 6 sijui mwaka....)
Nijuzeni Ili niwe mwanachama kama Kuna faida njee ya kutokula tu mbususu.....
Ebu anzisha Uzi mkuu kbsàa kuleta hamasa zaidiKwa atayefikisha siku 90 aje alete mrejesho. Then kuna maelezo nitampa ya namna ya kuitumia hiyo nguvu kwa kuigeuza kuwa brain power. Ina maanufaa mengi na unaweza kuitumia kwemye mambo mengi pia ila mimi nitagusa kwenye hiyo angle.
Uongo mtupuFaida zipo nyingi tu kwanza unafanya mwili kuwa na nguvu,stamina,active,na umakini unaongezeka kichwani pili unaimarisha nguvu zako za kiroho pia unafanya roho yak kuw safi asije kudanganya mtu Duniani uzinzi unachafu sana roho Ata ukiwa unafanya Sala na ibadi inakuwa kazi Bure.pia Kam ni wew mnzizi ikitokea umepewa madawa ya asili utumie hasa yanayousiana na kupingana na manguvu ya kishetani mfano uchawi majini,Kun madawa hayawez kufanya Kaz kamwe
Wew bado mtotoUongo mtupu
Hauna maajabu. Nikiwa California nimekunywa sana pweza soup lakini sikupata changes.Kiboko yenu mchuzi wa pweza.
Wahi hospital ukacheki homoni Kama zimebalanceHauna maajabu. Nikiwa California nimekunywa sana pweza soup lakini sikupata changes.
[emoji81][emoji81] km...kHalafu nasikia nyege zikizidi zinahamia nyuma. Sasa shauri yenu
HaiwezekaniHalafu nasikia nyege zikizidi zinahamia nyuma. Sasa shauri yenu
mbona wapadre na watawa wanaweza[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nishasema challenge hizo za kipuuzi tu. Haiwezekani uwe rijali halafu eti ujiamulie kukaa eti miezi mitatu hujagusa mbususu.
😂😂 Ulitisha Sana mkuuMkuu, nilivumilia siku nne tu! Nikawa nimetulia zangu mlangoni kwangu asubuhi, akapita mwanadada mmoja kajifunga khanga tu, ile khanga ikateleza nikaiona mbususi, alikuwa hajavaa kitu ndani, ni khanga na kibode! Chap nikakimbilia ndani kuangaza sabuni iko wapi, chaaap! niliwamimina ndani ya sekunde tatu! waaaaa! Nikahisi ahueni!
Nimebaki na app yao tu, naona siku zinavyozidi kwenda napewa hongera kwa kustep stage na maneno ya kuincourage! Nabaki nacheka tu!
Mkuu tuko pamoja, wala usijilaumu!