Maamuzi ya kiume, hongeraBinafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa
Uzi tayari
Christmas ni siku tu wazungu waliamua iwe...
Shukrani sana mkuuNi vzr kujumuika na familia..mana family and blood bond is unbreakable bond..kama umekosa nauli jipange wakati mwingine.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kila mtu mnaisingizia JanuaryMimi pia nimeshindwa kwenda moshi kwa sababu za kifedha.
Nikicheki january majukumu yaliyoko mbele yangu imebidi niwe mpole.
Inatakiwa mtengwe na ukoo yaani mumeenda kutafuta harafu mnakosa hata nauli.Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa
Uzi tayari