Tulioshindwa kwenda Moshi sababu ya nauli tukutane hapa

Tulioshindwa kwenda Moshi sababu ya nauli tukutane hapa

Malume

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
1,016
Reaction score
1,886
Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu

Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa

Uzi tayari
 
Christmas ni siku tu wazungu waliamua iwe...

Hii kuna rafiki yang mmoja aliwahi kusema hii halafu ikanifikirisha nikaona inawezekana kuwa ina mashiko....

1.Ni kipindi cha baridi sana kwao hivyo waliamua kujipa break mara nyingi 1-2 weeks.

2.Wazungu wengi sio watu wa kusali sali makanisani ,makanisani wengi ni wazee.Wanashadadia vibes tuu.
 
We utakuwa mchaga muislamu ndio maana hujaenda
Mchaga mkristo huwa hawazi hayo
Ttaizo sio udini mkuu, shida ni kwamba bajeti imegoma, nikisema niende basi January watoto wanne watakua wananiangalia nyumbani
 
Mimi pia nimeshindwa kwenda moshi kwa sababu za kifedha.
Nikicheki january majukumu yaliyoko mbele yangu imebidi niwe mpole.
Pole mkuu, Mungu atajaalia next year tutaenda, tujipe moyo na kujipanga upya
 
Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu

Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa

Uzi tayari
Inatakiwa mtengwe na ukoo yaani mumeenda kutafuta harafu mnakosa hata nauli.
Wachaga wa siku hizi kazi tupu.
 
Back
Top Bottom