Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

drifter#

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
29
Reaction score
72
Habari zenu wakuu

Leo ningependa kila mtu aweke tukio lake alilowahi kuliona kwenye mabasi ya mikoani.
Nikianza na mim mwenyew,
Mwezi wa 1 nlkua natoka Dar naenda Moro ndani ya Alsaedy bus full kiyoyozi nimeulamba kila kitu na chini nna kiatu changu kipyaaaaa!
Pemben amekaa binti ambaya kwa kwel ni mrembo sana,hapa niweke wazi...kwenye safari zangu mkoa cjawahi kukaa seat moja na demu mkali...siku hii ikawa kama neema ivi imeshuka!
Baada ya kutoka Ruvu pale kwenye misosi na kuchimba dawa tukawa tumekaa tunapiga story za hapa na pale na yule demu...
Daah,sijakaa sawa naanza kuckia harufu za ajabu ajabu kama matapishi ivi..daah kweli bhana jamaa moja alikuwa amekaa siti ya mbele yangu mambo yalikuwa sio mambo matapishi yamejaa kwenye siti yake kote harufu karbia basi zima inasikika
Siku hii japo nilikuwa na furaha kukaa na mtoto mzuri sehemu moja ila nilichukia sana...maana yale matapishi yalishuka hadi chini kwenye kiti na kuanza kuingia kwenye viatu vyangu...maana akili yote ilikuwa kwa mtoto mzuri hata yalivoingia ingia hayo matapishi skuweza kujua....
Daah kucheki vizuri jamaa alikuwa anapiga chips yai zile za take away na ndo zilizosababisha zahama yote hii...Siwezi sahau hii siku maana viatu vyangu na miguu yote ilkuwa matapishi 2..sema nlitembea na body spray kwenye begi....jamaa akanipa tambaa nikajifutia na spray yangu ndo ikawa mtetezi nilipofika msamvu sina harufu tena...hahahah

Wakuu tupieni vimbwanga mlivyoona kwenye mabasi huko ya mikoani.
 
siku jamaa mmoja alipojititia baada ya kula sana njiani, tumbo likambana, akashindwa kubana, aliposhuka kitonga hakupanda tena lile basi, ni kijana mtanashati, sijui alikunywa mpombe, sijui nini aisee, siti aliyoiacha ilibidi ioshwe kwanza. makonda nao wana kazi sana.
 
Mimi nilikaaa na Bonge alafu kapuliza pafyumu kama ya maiti nilikuwa sipumui yani nilifika home tumbo loteee linaumaaaa
 
Mimi ndio nilileta balaa nakumbuka nilikesha nakunywa pombe afu kesho yake nna safari ya dom so asubuh nimetoka club nikaunga moja kwa moja ubungo, nilikaa na demu mmoja niliyekuwa nnamfahamu chuo, daah iyo siku nilikoroma, nikaemda kutapika chooni nimechafua hakufai, ile siku nilikuwa ni kero kwa kweli nikiamka kwenda chooni lazima nimdondokee mtu na mtu akiongea nnamletea mbovu...nilipofika dumila ndio nikaanza kuwa poa mpaka nnafika dom niliona aibu sana
 
Daaaah vituko vingi sana...
-Kuna siku tuko moro tumelala zetu kwenye gari lidogo limoja likaharisha kwenye Dust bin hafu likubwa kama 14 yrs, mle ndani tulikua ni mwendo wa kutema mate kama tumenasa mimba.

-Nilishuka stendi nikakuta begi langu limebadirishwa mtu kachukua kaacha lake lenye vikama vya mtoto tu nililia sana hafu nilikua naenda kufanya field somewhere begi ndo lilikua linavyeti.hiyo ilikua Nyehunge bus
 
Nakumbuka nilisafiri na abiria mmoja alafu inaonyesha ndio mara yake kuja Dar, alikuwa na kisimu chake cha tochi alafu kajiunga na bando la dakika nyingi. Yaani mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari alikuwa anapiga kilugha na kuongea na watu wa ukoo wake wote! Wengine anarudia rudia kwa vicheko. Inaonekana kuwa alikiwa akiwataarifu na kuwakoga kuwa anaenda mjini.
 
Out of topic..
-Tulitoka kijijini kuimba kwaya basi wakati wa kupanda gari likawa limejaa, nikskaita kamwanakwaya kamoja nikakapakata heheee vile gari linadunda watu tunaimba nikaanza kupapasa mapaja meisho kakalegea nikapenyua sketi nikalengesha ogo ndani nikaanza jisevia huku tunaimba sauti ikawa haieleweki mara yanne mara ya pili nikapiga tubao kamoja na nusu ndani ya gari...
 
Nakumbuka nilikuwa natoka arusha - dar nilishuhudia mrembo sista duu kwelikweli mweupeee..akiaribu ndani ya basi
maskini ya mungu sijui alikuwa amepata tumbo la kuhara yule bahati nzuri aliharibu karbu na mombo hotel, ikabidi basi liingie hotel pale, ndo akaenda kujiswafi pia kuna mwanadada alijitolea kumuazima skirt nyingine.
Jeans aliyokuwa amevaa sijui aliitupia wapi maana alivyorudi kwenye bus hakuibeba. Akajiinamia kwenye kiti mpaka tunafika kimara,. Yani hadi huruma

Dah ilikuwa ni aibu kwelikweli
 
Demu kama huyu hata ukimtongoza hakatai maana aibu hiyo inamfanya awe inferior
 
Nakumbuka nilisafiri na abiria mmoja alafu inaonyesha ndio mara yake kuja Dar, alikuwa na kisimu chake cha tochi alafu kajiunga na bando la dakika nyingi. Yaani mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari alikuwa anapiga kilugha na kuongea na watu wa ukoo wake wote! Wengine anarudia rudia kwa vicheko. Inaonekana kuwa alikiwa akiwataarifu na kuwakoga kuwa anaenda mjini.
Hhahahaha aiseee jamaa ni full kujitamba safari Dar hyoo...acha mkuu
 
Demu kama huyu hata ukimtongoza hakatai maana aibu hiyo inamfanya awe inferior
Mkuu yani alivyorudi ndani ya bus baada ya kujiswafi aliinama kimyaaaa mpaka anashuka kimara
Hata chance ya kumuongelesha hakuna
 
Mwaka 2015 nilisafiri toka Dar-Kahama-Kigoma.Nilipanda basi LA Alsaedy.Basi lilikuwa limejaa siti zote na hakuna aliyesimama. Kuna jamaa mmoja (mwanaume) alikuwa anarudi nyumbani kwao Kasulu, jamaa huyo alionekana mwenye afya dhaifu, ila alikuwa na maneno mengi sana.Kutokana na maneno yake mengi hasa ya mtaani yaliyokuwa yanasikika basi zima(kwani alikuwa akiongea kwa sauti) inawezekana kazi yake ni kupiga debe. Cha kushangaza kwa huyu jamaa ni kwamba yeye alikuwa anaomba vyakula ndani ya basi, utakachobakisha anakiomba na anakula. Hata kama umekunywa maji imebaki nusu chupa, anayaomba,unampa wewe ukidhani anataka labda kunawa kumbe anayanywa. Cha ajabu zaidi kwa huyu bwana; wakati wa kuchimba dawa yeye alikuwa hashuki chini kuchimba.Na basi likianza safari ndipo anaenda kule mbele ya basi (siti za mwanzo) na anawageukia abiria wengine anatoa dushe lake hadharani na anakojolea kwenye chupa. Akishamaliza kukojoa kwenye chupa(chupa ya maji) anaanza kumwaga mkojo wake kwa dirishani tena taratibu taratibu sana, kama mjuavyo gari likiwa linatembea na mtu aliyepo mbele yako anapomwaga kimiminika dirishani lazima wewe uliye nyuma utarukiwa na kimiminika hicho;ndicho kilichokuwa kinatokea kwa abiria wengine, na walikuwa wakipiga kelele lakini jamaa linaendelea. Jamaa alipofika kijiji kimojawapo cha Kasulu,alishuka na Rambo yake, abiria wote walikuwa wakimshangaa jinsi anavyoshuka na walitamani kuwaona ndugu zake, ila hapakuwa na mtu yeyote wa kumpokea.Mara baada ya kushuka abiria walishangilia/shukuru sana wakisema "afadhali limefika"
 
Back
Top Bottom