Sitasahu nilipanda Abood kutoka moro mpaka Dar loooh nilikomahahahahaha
[emoji23][emoji23] alijua kuwakeraMwaka 2015 nilisafiri toka Dar-Kahama-Kigoma.Nilipanda basi LA Alsaedy.Basi lilikuwa limejaa siti zote na hakuna aliyesimama. Kuna jamaa mmoja (mwanaume) alikuwa anarudi nyumbani kwao Kasulu, jamaa huyo alionekana mwenye afya dhaifu, ila alikuwa na maneno mengi sana.Kutokana na maneno yake mengi hasa ya mtaani yaliyokuwa yanasikika basi zima(kwani alikuwa akiongea kwa sauti) inawezekana kazi yake ni kupiga debe. Cha kushangaza kwa huyu jamaa ni kwamba yeye alikuwa anaomba vyakula ndani ya basi, utakachobakisha anakiomba na anakula. Hata kama umekunywa maji imebaki nusu chupa, anayaomba,unampa wewe ukidhani anataka labda kunawa kumbe anayanywa. Cha ajabu zaidi kwa huyu bwana; wakati wa kuchimba dawa yeye alikuwa hashuki chini kuchimba.Na basi likianza safari ndipo anaenda kule mbele ya basi (siti za mwanzo) na anawageukia abiria wengine anatoa dushe lake hadharani na anakojolea kwenye chupa. Akishamaliza kukojoa kwenye chupa(chupa ya maji) anaanza kumwaga mkojo wake kwa dirishani tena taratibu taratibu sana, kama mjuavyo gari likiwa linatembea na mtu aliyepo mbele yako anapomwaga kimiminika dirishani lazima wewe uliye nyuma utarukiwa na kimiminika hicho;ndicho kilichokuwa kinatokea kwa abiria wengine, na walikuwa wakipiga kelele lakini jamaa linaendelea. Jamaa alipofika kijiji kimojawapo cha Kasulu,alishuka na Rambo yake, abiria wote walikuwa wakimshangaa jinsi anavyoshuka na walitamani kuwaona ndugu zake, ila hapakuwa na mtu yeyote wa kumpokea.Mara baada ya kushuka abiria walishangilia/shukuru sana wakisema "afadhali limefika"
Sijui kwa kweli tumbo lilivuruga kwa pafyumu nashukuru ilikuwa asubuh na safar ilikuwa fupi Moro Dar sjui ningekuwa nimekula wallah ningetapikaaaUna tabu gani na mabonge [emoji23] [emoji23]
VikamaDaaaah vituko vingi sana...
-Kuna siku tuko moro tumelala zetu kwenye gari lidogo limoja likaharisha kwenye Dust bin hafu likubwa kama 14 yrs, mle ndani tulikua ni mwendo wa kutema mate kama tumenasa mimba.
-Nilishuka stendi nikakuta begi langu limebadirishwa mtu kachukua kaacha lake lenye vikama vya mtoto tu nililia sana hafu nilikua naenda kufanya field somewhere begi ndo lilikua linavyeti.hiyo ilikua Nyehunge bus
Asanteee sanaHhahah daah pole sana asee...kuna vituko sana
Aiseeeeee mm mtu akiongea mambo ya kujamba huwa nacheka san maana nakumbuka mijamboo ya bording schoolsKuna jamaa@mmoja alijamba basi zima harufu ilichelewa kuisha ndani ya basi alafu ni ule mjambo usiokuwa na sauti kubwa wabongo wanauita yusuph dah ilikuwa hataree full kutema mate
Ninyi wanakwaya huwa ni vitomb* sana,punguzeni!Out of topic..
-Tulitoka kijijini kuimba kwaya basi wakati wa kupanda gari likawa limejaa, nikskaita kamwanakwaya kamoja nikakapakata heheee vile gari linadunda watu tunaimba nikaanza kupapasa mapaja meisho kakalegea nikapenyua sketi nikalengesha ogo ndani nikaanza jisevia huku tunaimba sauti ikawa haieleweki mara yanne mara ya pili nikapiga tubao kamoja na nusu ndani ya gari...
Mungu aepushie mbali!Nakumbuka nilikuwa natoka arusha - dar nilishuhudia mrembo sista duu kwelikweli mweupeee..akiaribu ndani ya basi
maskini ya mungu sijui alikuwa amepata tumbo la kuhara yule bahati nzuri aliharibu karbu na mombo hotel, ikabidi basi liingie hotel pale, ndo akaenda kujiswafi pia kuna mwanadada alijitolea kumuazima skirt nyingine.
Jeans aliyokuwa amevaa sijui aliitupia wapi maana alivyorudi kwenye bus hakuibeba. Akajiinamia kwenye kiti mpaka tunafika kimara,. Yani hadi huruma
Dah ilikuwa ni aibu kwelikweli
Usiombe yakukuteMungu aepushie mbali!
Ulilia mkuu??dah pole sana,sipati picha yaniDaaaah vituko vingi sana...
-Kuna siku tuko moro tumelala zetu kwenye gari lidogo limoja likaharisha kwenye Dust bin hafu likubwa kama 14 yrs, mle ndani tulikua ni mwendo wa kutema mate kama tumenasa mimba.
-Nilishuka stendi nikakuta begi langu limebadirishwa mtu kachukua kaacha lake lenye vikama vya mtoto tu nililia sana hafu nilikua naenda kufanya field somewhere begi ndo lilikua linavyeti.hiyo ilikua Nyehunge bus
Kwetu ndo tunaita hivo wao wanaita nepi au pampasiVikama
Umeongea kama lugha yangu
Yani kweli abiria wote mnamwagiwa mkojo mnakubali??angeshuka njiani huyoMwaka 2015 nilisafiri toka Dar-Kahama-Kigoma.Nilipanda basi LA Alsaedy.Basi lilikuwa limejaa siti zote na hakuna aliyesimama. Kuna jamaa mmoja (mwanaume) alikuwa anarudi nyumbani kwao Kasulu, jamaa huyo alionekana mwenye afya dhaifu, ila alikuwa na maneno mengi sana.Kutokana na maneno yake mengi hasa ya mtaani yaliyokuwa yanasikika basi zima(kwani alikuwa akiongea kwa sauti) inawezekana kazi yake ni kupiga debe. Cha kushangaza kwa huyu jamaa ni kwamba yeye alikuwa anaomba vyakula ndani ya basi, utakachobakisha anakiomba na anakula. Hata kama umekunywa maji imebaki nusu chupa, anayaomba,unampa wewe ukidhani anataka labda kunawa kumbe anayanywa. Cha ajabu zaidi kwa huyu bwana; wakati wa kuchimba dawa yeye alikuwa hashuki chini kuchimba.Na basi likianza safari ndipo anaenda kule mbele ya basi (siti za mwanzo) na anawageukia abiria wengine anatoa dushe lake hadharani na anakojolea kwenye chupa. Akishamaliza kukojoa kwenye chupa(chupa ya maji) anaanza kumwaga mkojo wake kwa dirishani tena taratibu taratibu sana, kama mjuavyo gari likiwa linatembea na mtu aliyepo mbele yako anapomwaga kimiminika dirishani lazima wewe uliye nyuma utarukiwa na kimiminika hicho;ndicho kilichokuwa kinatokea kwa abiria wengine, na walikuwa wakipiga kelele lakini jamaa linaendelea. Jamaa alipofika kijiji kimojawapo cha Kasulu,alishuka na Rambo yake, abiria wote walikuwa wakimshangaa jinsi anavyoshuka na walitamani kuwaona ndugu zake, ila hapakuwa na mtu yeyote wa kumpokea.Mara baada ya kushuka abiria walishangilia/shukuru sana wakisema "afadhali limefika"
Mkuu hafu nawafuata makonda wanasema sijaweka mzigo ndan ya basi, nilibak na pc yangu tuUlilia mkuu??dah pole sana,sipati picha yani
Vijana wa darYani kweli abiria wote mnamwagiwa mkojo mnakubali??angeshuka njiani huyo
Tumepunguza aisseNinyi wanakwaya huwa ni vitomb* sana,punguzeni!