Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Hiyo Biblia mnaitumia vibaya. Na siku zote mnajificha kwenye huo mstari wa kwamba tutii Mamlaka kwa vile zinatoka kwa Mungu. Mbona Mungu mwenyewe alimtuma Musa kuwakomboa wana wa Israel toka kwa Farao?

Mungu anasingiziwa matendo machafu ya binadamu. Siamini kama Mamlaka ya Adolf Hitler ilitoka kwa Mungu. Vivyo hivyo siamini kuwa Mamlaka ya Magufuli ya uwizi wa kura za Oktoba 2020 ilitoka kwa Mungu. Na kuthibitisha hilo Mungu kachukua roho yake ndani ya siku 120 baada ya kuiba kura
 
much respect mkuu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana aliyeasisi huu ushenzi wa kuirudisha Tanzania kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kutumia mtutu wa bunduki sasa hivi yuko motoni anabanikwa kama ndafu, asante Mungu kutuondolea huyu dhalim.
 
Na ndiyo maana aliyeasisi huu ushenzi wa kuirudisha Tanzania kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kutumia mtutu wa bunduki sasa hivi yuko motoni anabanikwa kama ndafu, asante Mungu kutuondolea huyu dhalim.
Bado wamo wamo kina ndugai kipilimba sijui kigaigai majaliwa na co, yote mpaka watubu,
 
Ndio maana walimu wengi..maisha yao magumu sana..kwasababu ya kushiriki udhalimu huu..kazi ya ualimu kwa Tz ni laana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaamini kuwa hukufanya huo uzandiki?
 
Ndio maana walimu wengi..maisha yao magumu sana..kwasababu ya kushiriki udhalimu huu..kazi ya ualimu kwa Tz ni laana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kusema kuwa wale wote wenye maisha magumu ni kwasababu ya kuwa na laana? Na kazi ya ualimu ni laana! Duuh!
Chief, umefanya "sweeping generalization".
 
Kweli mkuu!
Utaambiwa hata serikali ya Idi Amini ilitoka kwa Aliye juu, ata kama Amini alipindua utawala uliokuwepo. Funny!
 
Ohooooo
 
wewe ni kati ya watu wa hovyo sana katika nchi hii. Iwapo uliaminiwa kusimamia uchaguzi ukauboronga huo ni udhaifu wako binafsi na nisingependa upewe mamlaka yoyote nchini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…