johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda ametarget shule zilizopo town tu hahaha. Team Ifunda hapa.Mbona Tosamaganga hujaitaja, au hawatakiwi?...
Tosa wanakaribishwa lakini huko nyuma Tosamaganga, Pomelini na Ifunda zilihesabika kama shule za " shamba" walikuwa wanakuja mjini kwa mialiko ya Disco kutoka Lugalo na Iringa Zoo!Mbona Tosamaganga hujaitaja, au hawatakiwi?...
Pitia uzi vizuri uelewe, mimi nimesoma Highlands!Mleta uzi ulisoma shule zote hizo?!!!!
Hahahahaaa... Haya bhana!...Tosa wanakaribishwa lakini huko nyuma Tosamaganga, Pomelini na Ifunda zilihesabika kama shule za " shamba" walikuwa wanakuja mjini kwa mialiko ya Disco kutoka Lugalo na Iringa Zoo!
Hahahaa... Ifunda walikuwa wanaletwa mjini kwa lori Isuzu injection 7 tones!Labda ametarget shule zilizopo town tu hahaha. Team Ifunda hapa.
Umenikumbusha nilisoma Pomerini dah miaka ile kupigika balaaTosa wanakaribishwa lakini huko nyuma Tosamaganga, Pomelini na Ifunda zilihesabika kama shule za " shamba" walikuwa wanakuja mjini kwa mialiko ya Disco kutoka Lugalo na Iringa Zoo!
Hahahaa... Pomerini unapitia Ipogolo kuelekea Nyabula.....mlikuwa mbali sana na mjini!Umenikumb
Umenikumbusha nilisoma Pomerini dah miaka ile kupigika balaa
Enzi za evening classes zilizoitwa Taasisi au hukuzikuta mkuu?!Mimi Mkwawa High School enzi zileeee
Wale walau walikuwa wakipandisha mlima wanaibukia magereza tayari wako town!Na waliosoma Kagrielo je?
Pamoja. Mwaka 1998 tulienda kuiba ulanzi wa jamaa mmoja aliitwa mbegasi nikakamatwa mimi nakupelekwa kwa walimu na walimu walilipa 200 kwa mbegasi ikawa pona yangu na baada ya hapo nilikuwa kwenye uangalizi mkubwa sana ila wenzangu walihama woteLabda ametarget shule zilizopo town tu hahaha. Team Ifunda hapa.
Miaka ya nyuma kabisaaaa kabla ya kipindi unachoskisema Head master alikuwa Elia Staki (RIP)baadae alikuja kuwa mwenyekiti wa C.C.M mkoa wa IringaEnzi za evening classes zilizoitwa Taasisi au hukuzikuta mkuu?!
Hakika, binti yake alisoma Lugalo anaitwa Rose Sitaki ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Same Kilimanjaro!Miaka ya nyuma kabisaaaa kabla ya kipindi unachoskisema Head master alikuwa Elia Staki (RIP)baadae alikuja kuwa mwenyekiti wa C.C.M mkoa wa Iringa
Na pale Ifunda zaidi ya ulanzi hapakuwa na starehe nyingine!Pamoja. Mwaka 1998 tulienda kuiba ulanzi wa jamaa mmoja aliitwa mbegasi nikakamatwa mimi nakupelekwa kwa walimu na walimu walilipa 200 kwa mbegasi ikawa pona yangu na baada ya hapo nilikuwa kwenye uangalizi mkubwa sana ila wenzangu walihama wote
Labda ametarget shule zilizopo town tu hahaha. Team Ifunda hapa.
Upo sahihi mkuu, JF hata vibabu tumo. Mate wangu ni mbunge wa sasa wa Igunga ila ni different combinationHakika, binti yake alisoma Lugalo anaitwa Rose Sitaki ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Same Kilimanjaro!