Teh !! Teh !!! Kiongozi umenifanya nikumbuke mbali sana, okay sijasoma hizo shule ulizozitaja hapo juu, kwani kipindi hich still nilikuwa dogo sana, ila shule kama mkwawa, mwembetogwa na highland ni shule ambazo nazifahamu vizuri sana coz I had been living there, back on days.
Kwa wale walisoma mkwawa kipindi hicho ikiwa bado five na six, nadhani utakuwa mnakumbuka vizuri sana shule moja ya msingi ipo upande wa juu mkono wa kulia ukiwa unaelekea mlima, inaitwa ilala primary school. Basi mtabe ndiyo nilikuwa pale kipindi hicho, basi mi pamoja na washikaji tulikuwa tunatabia ya kwenda pande za mkwawa kuokota peni pamoja na kuchungulia wadada walikuwa wakioga njee ( it was so funny ) wakati wa asubuhi au jioni, kwa asubuhi tulikuwa tunapita makusudi njia hii iliyokuwa inaunganisha kilumba west na kilumba east huku ilikuwa lazima uwakute tuuu, na kwasababu tulikuwa wadogo wadogo basi wadada hawa wala hawakuona tabu kuzificha papuchi zao pamoja na( ny)nyo zao, zaidi ya kutuambia " tokeni huku nyie watoto " basi wazee tukitoka hapo full kuadisiana darasani " nimeona ziiiiiiivuu, mwingine nimeona ( n-y) nyo mwingine nimeona kotaa "
Lakini kubwa kabisa jingine nalolikumba ni bonanza lililokuwa linaanzishwa kule Don bosco youth training centre, ambako shule kama vile Tosa, Ifunda, mkwawa Iringa girls na nyingine nezo zilikuwa zinakaribishwa kushiriki bila kusahau raia. Ila kubwa zaidi hapa zilikuwa ni fujo zilizokuwa zinatokea, nyingi zilikuwa zinaanzishwa na vijana watosa wakigombania mademu toka mkwawa au Iringa girls kwa kweli ilikuwa ni balaa tupu maana nakumbuka kuna fujo fulani ziliwahi kutokea zikapelekea Dada mmoja ( mwanafunzi ) kumwagiwa tindikali aisee polisi walivyofika watu walipigisana siku ile na toka pale ukuwa ndiyo mwisho wa bonanza kama lile kuanzishwa kutuoni pale. but honest those days were amazing, I wish I could turn my past and spend the rest of my life in Iringa. All in all Iringa is still my home.