Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Tuliomaliza Mkwawa 1986 nawapa Hi hasa kundi la "Maksai " PM - Physics plus Maths
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unamkumbuka Seth singasinga wa IPTL alikuwa anakaa jirani na Chana garage pale NMC. Ulipotaja Lulus umenikumbusha Tina Roussoss ( rip) na bwana ake Ally Bob Said!
Unataja shule za Iringa unaacha Ifunda tech,Njombe,Malangali,Tosamaganga et el.You can't be serious!!!
Chama langu Malangali balaa sn
Yap, balozi Pindi alikuwa anakaa pale garage baba yake alikuwa singa singa akiitwa Singh Chana. Unawakumbuka watemi wa miyomboni kina Taurati na Cool nine?...Unamkumbuka mchungaji Msigwa na meza yake miyomboni?Hapana simkumbuki kabisa,ila Chana si ilikuwa Garage ya kina Mh.Balozi Pindi Chana? Huyu Pindi Chana alikuwa anakaa wapi,Soma wapi age mate wangu huyu.
Hahahaa.... Dah ndio nakumbuka hii shule Ukumbi!!Na waliosoma ukumbi wakutane wapi?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu na wewe muhanga wa mr Juma?Mtt wa Mama Becky & Muga[emoji16][emoji23]
Bado ipo mkuu.. Sema imedrop sana waliingiiza udini sana ukashamili watu wakatoa watoto waoHivi hii shule bado ipo?
Itakua Ruaha tu hyoShule gani?
Hao siwakumbuki ila wakati huo hawa kina Motto (Majembe) walikuwa ndio wanachipuka,Kulikuwa na Dereva Taxi aliyeitwa Chuwa alikuwa na Taxi inaitwa Teitei Taxi na alikuwa tajiri sana enzi hizo alikuwa akikaa Quarter zilizopo Karibu na Tanesco ile ya zamani palipokuwa na TurbinesYap, balozi Pindi alikuwa anakaa pale garage baba yake alikuwa singa singa akiitwa Singh Chana. Unawakumbuka watemi wa miyomboni kina Taurati na Cool nine?...Unamkumbuka mchungaji Msigwa na meza yake miyomboni?
Ulimkuta mwalimu Mbando?.....mama Lambo je?Lugalo 1988_1991 !
Mkuu daa balaa sn.Ilikuwa nikifika mbalamaziwa pale akili inachanganyikiwa.Ila nilipozoea ilikuwa bata sanaNjoss na Mpechi huo ni mkoa wa Njombe...kwahiyo town yenu ilikuwa Mbalamaziwa!
Vichwa kibao vimepitia pale..sijui bado ipo?Hahahaa.... Dah ndio nakumbuka hii shule Ukumbi!!
Sawa kabisa Tei tei alikuwa na Taxi peugeot 404, Majembe alikuwa driver wa mission pale kihesa na baba yao alikuwa na bucha kihesa sokoni na alikuwa pia anauza mitumba!Hao siwakumbuki ila wakati huo hawa kina Motto (Majembe) walikuwa ndio wanachipuka,Kulikuwa na Dereva Taxi aliyeitwa Chuwa alikuwa na Taxi inaitwa Teitei Taxi na alikuwa tajiri sana enzi hizo alikuwa akikaa Quarter zilizopo Karibu na Tanesco ile ya zamani palipokuwa na Turbines
Sana Sana mkuu.Malangali nilipiga A-Level.Niliishi Shaban Robert then Bangu A.Wewe uliishi bweni lipi mkuu?Malangali nilipiga O-level na Mkwawa A-level, pamoja mkuu
Ha hahaaa! ndiyo mkuu! Nilisoma na mdogo wake anaitwa Martha Mbando!... Mama Lambo r. I. p!Ulimkuta mwalimu Mbando?.....mama Lambo je?
Materu, chaula, salingwa, Rubologa... Walishatangulia mbele ya haki! [emoji22]Ha hahaaa! ndiyo mkuu! Nilisoma na mdogo wake anaitwa Martha Mbando!... Mama Lambo r. I. p!