Tuliosoma Iringa: The Highlands, Lugalo, Iringa Girls, Mkwawa HS na Mwembetogwa tukutane hapa!

nimeish kihesa nimesoma highland nkaamia mwembetogwa ila highland mademu wa kiarabu walkuwa weng tulikuwa tunaenda kuvizia hadi ummu salama .....ngoja nifanye kazi kwanza ntarudi badae kwa stori zaidi
 
Mwaka Gani mkuu?
 
Bweni langu pia na mwalimu wangu tangu o'level Lugalo akiwa mwalimu wa mazoezi.
 
Mwaka 1999 nipo form 2 pale mwembetogwa kulikuwa na mechi mwesesco na lugalo tulivuja pambano kwa ubabe wetu du!!,kesho yake kukawa na mashitaka shuleni ikabidi tupelekwe lugalo sec wakataka tuchapwe viboko mbele ya wanafunzi wa lugalo na bado tuligoma dadeki ikabidi tuchapwe ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…