Tuliosoma Iringa: The Highlands, Lugalo, Iringa Girls, Mkwawa HS na Mwembetogwa tukutane hapa!

Tuliosoma Iringa: The Highlands, Lugalo, Iringa Girls, Mkwawa HS na Mwembetogwa tukutane hapa!

nimeish kihesa nimesoma highland nkaamia mwembetogwa ila highland mademu wa kiarabu walkuwa weng tulikuwa tunaenda kuvizia hadi ummu salama .....ngoja nifanye kazi kwanza ntarudi badae kwa stori zaidi
 
nimeish kihesa nimesoma highland nkaamia mwembetogwa ila highland mademu wa kiarabu walkuwa weng tulikuwa tunaenda kuvizia hadi ummu salama .....ngoja nifanye kazi kwanza ntarudi badae kwa stori zaidi
Mwaka Gani mkuu?
 
Nilisoma Mkwawa high school 1999-2001. Enzi za headmaster Mbao
Uliyoyaongea dogo yote ni kweli. Nikisikitika sana ile shule kubadilishwa chuo. Ile shule ilikuwa zaidi ya shule. .Imagine ilikuwa ni boarding with capacity ya ku accommodate wanafunzi zaidi ya 1500. Na ilikuwa na zaidi ya combination 7. Wanafunzi both boys and girls. Ilikuwa inachukua wanafunzi sehemu mbali mbali Tz. Hakuna mkoa au wilaya ambayo ilikosa mtu pale mkwawa. Makabila karibia yote unayofahamu. Lakini majority walikuwa kaskazini(chaga and the like) na mbeya family(ilicover kanda ya nyanda za juu kusini)

Kulikuwa na kila aina ya maisha ambayo ungeyahitaji pale. Kulikuwa na walokole haswa wanasali hadi wanalia. ..wakati huohuo darasa linalofuatia ukiona giza kama ni usiku usilogwe kuwasha taa ghafla. .ungekuta pair of couples wanakulana denda hata kuinamishana...

Kulikuwa na wasongo wa buku hatari. Wazee wa kutoboa usiku kucha. ..pia kulikuwa na minunda hatari. ..kuonekana class hata mazingira ya shule was very rare.

Pamoja na hayo yote...Hakuna ambaye angekufuatafuata. Yote ilikuwa ni wewe. Fanya yote ila mwisho ujue umefuata nini pale.
Na ndo mana ikajulikana complex Cassino.

Ningekuwepo ktk eneo la maamuzi ningeweza batilisha uamuzi wa kuibadilisha kuwa chuo. .kwani kwa kipindi kile mwanafunzi ukipitia pale ungepata multskills jinsi ya kuishi kila aina ya maisha katika jamii.
Niliishi bweni la Lumumba East liliokuwa chini ya mwl mmoja maarufu kipindi kile kwa jina la utani kutoka kwa wanafunzi kama M. ..dwarf. alikuwa mfupi mfupi na alipenda wanawake waliopanda hewani. Na iwapo angegundua kuwa mna date na demu ambaye alikuwa ndani ya target zake basi lazima angekuletea visa vingi hatari. Mimi nilikuwa mmoja wa victim. Lakini mbaya zaidi mademu wengi walikuwa wanakatosa.
Nina mengi sana. ..Lakini siwezi orodhesha yote hapa. ....hapo sijaongelea maandazi ya makanyagio na kadhalika
Bweni langu pia na mwalimu wangu tangu o'level Lugalo akiwa mwalimu wa mazoezi.
 
Mwaka 1999 nipo form 2 pale mwembetogwa kulikuwa na mechi mwesesco na lugalo tulivuja pambano kwa ubabe wetu du!!,kesho yake kukawa na mashitaka shuleni ikabidi tupelekwe lugalo sec wakataka tuchapwe viboko mbele ya wanafunzi wa lugalo na bado tuligoma dadeki ikabidi tuchapwe ofisini
 
Back
Top Bottom