Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
They are not everything, PhD is nothing isn't life isn't respect, isn't money, it's just a certificate /qualification, it's not food, it's not intelligence or geniusMkuu soma tu, acha makasiriko.. mie mwenyewe naisaka Phd na ninajuta sana kutoipata hadi mda huu.. nilifanya uzembe.. Na kama hupendi kusoma basi usiwaonee nongwa wenye nazo na wanazo zisaka maisha ni uchaguzi tu
Sawa wadiz umesomekaThey are not everything, PhD is nothing isn't life isn't respect, isn't money, it's just a certificate /qualification, it's not food, it's not intelligence or genius
Wewe ni mpuuzi tu. Unadhani PhD ya ukweli inapatikana kama njugu! Jiongeze nawe uipate ili mbele ya jina lako uanze na Dr.Unakuta hata maisha namzidi na elimu Nina masters kali tu na elimu zangu zote za mamtoni mbele huko na sina maringo, na najimudu halafu unakuta kijimtu kisa tu zamani nilimkimbiza kimasomo shule basi kimepata PhD kinajikutaaa, mimi nawacheka, nswaulizaga what reforms you have had with ur PhD, what unique life proposition are you proud of?, si kwa ubaya ila PhD yake mimi hainihusu.
A PhD is not a jack of trades, PhD is not intelligence and isn't genius
Nani huyo Phd amekukwanza au ni Mwigulu ?Ndiomana nimesema mwanzo sio kwa ubaya na sio wote ila wengi akishapata PhD anaona yuko mawinguni karibu na mbinguni, human relations or interaction haina uhusiano na elimu ya mtu. Wanavyojikuta hawa wadudu wenye PhD
Uwakute wanaojua wewe ni Mkali na level za secondary uliwakimbiza duuh wanajikuta hao, haya maisha ni hatari sana bila attitude changeUkimuona PhD holder anaringa huyo kanunua. Hawabwatu walioisotea shuleni kama mnafahamia a wako poa sana. Sana tu.
Mmoja wao ni Mwigulu elimu yangu ya uchumi ni Kali kumzidi, hawa wengine tunaokutana nao kwenye maeneo yetu, vina mshahara Milioni 4 hadi 5 vinavimba sasa huo mshahara au pesa ya kulimia tu na vibarua wangu.Nani huyo Phd amekukwanza au ni Mwigulu ?
Halafu PHd zenyewe za kiswahili ama historia hana analoliweza zaidi ya kuwa mwalimu chuokikuu [emoji16][emoji16]Unakuta hata maisha namzidi na elimu Nina masters kali tu na elimu zangu zote za mamtoni mbele huko na sina maringo, na najimudu halafu unakuta kijimtu kisa tu zamani nilimkimbiza kimasomo shule basi kimepata PhD kinajikutaaa, mimi nawacheka, nswaulizaga what reforms you have had with ur PhD, what unique life proposition are you proud of?, si kwa ubaya ila PhD yake mimi hainihusu.
A PhD is not a jack of trades, PhD is not intelligence and isn't genius
Naitaka hio ebu isemeNaogopa kumkasirisha zaidi mtoa mada.