Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Unamkumbuka na John Vicent? Nilikuwa Kiungo mshabuliaji kama unakumbuka niliumia kwenye mechi na Lugalo
daaa umenikumbusha mbali sana aiseee!msisahau sehemu muhimu ile half_mile
HeadMaster Dudu
Hii picha ni Tosa kwa upande gani? Najaribu kukumbuka inagoma!!
Shauri yenyu nyinyi si mnajifanya wajanja subirini a big test from dar es salaam!!!
Tosa boys sio wapiga gitaa kama wa Pugu na Minaki.
Tosa huwezi kuifaidi kama
~hujaenda shambani na bustanini Idete
~hujatembea kwa mguu toka Tosa hill hadi Junction kwa miguu
~hujaenda kwa masista kununua "bans"
~hujaenda Msiwasi ground
~hujaenda half mile, the most luxurious place ever in the hill
~hujaenda power station hadi Ipamba
Kakuruvi, hebu ongezea ktk list.
Duh wewe ukinitajia jina ntakufahamu, maana mm nilijoin 1995-1997 form five na six EGM namkumbuka sana Mwalimu wangu wa economic na Geography Mr Mwavika na Mr Mgaya. Namkumbuka Mwavika kwa a lot of terminologies akija assembly asubuhi kutoa speeach, very interesting. Halafu namkumbuka mtu mmoja alikuwa anacheza sana mpira Masote Kalembo sijui yuko wapi. Huyo mwalimu wako aliyeamishiwa baraza la mitihani anaitwa Mr Magesa kama sikosei alikuwa akifundisha Physics, nilikuwa nikikutana nae siku za miaka ya 2000-2004 ila nina muda sijamuona hapa Dar sijui yuko wapi siku hizi.