Sodium
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 754
- 404
Kwanza natoa shukurani kwa serikali iliyofikilia mpango wa kaanzisha shule za kata . Msema kweli tulipata changamoto kubwa katika kusoma kwetu ikiwa shule zilikuwa hazna walimu wa kutosha, miundombinu mibovu na mazingira yalikuwa siyo rafiki katika swala la kusoma.
Ila ndozimetufanya tunafika tulipo Basi unaweza toa changamoto ulizo zipata ukiwa shuleni na ulivyopambana nazo mpaka sasa upo ulipo kwa mafanikio makubwa.
Ila ndozimetufanya tunafika tulipo Basi unaweza toa changamoto ulizo zipata ukiwa shuleni na ulivyopambana nazo mpaka sasa upo ulipo kwa mafanikio makubwa.