Tuliosoma shule za kata tukutane hapa

Tuliosoma shule za kata tukutane hapa

wengi mliosoma hizo Shule kiingereza ni cha kutafuta na hamna confidence in presentation. ...from my observation in my A level Class
 
wengi mliosoma hizo Shule kiingereza ni cha kutafuta na hamna confidence in presentation. ...from my observation in my A level Class

Kuna ukweli ila hatukupenda mkuu hata sisi tulitamani tusome St. Xxxxxx kama wewe ila ndo hivyo tena
 
Yah shule hz zimesaidia kwa kiasi fulan japo changamoto nyingi na zinaendelea mpaka kwenye levels karibu zote za maisha. Kwanza kwenye interviews lugha tumika ni kiingereza ambacho tatizo kwa waliowengi, lack of confidence, hii ipo mpaka maofisin.
Sometimes unakuta mtu anamawazo mazuri sana lkn inakua ngumu kuyatoa kwenye vikao sbb lugha mgogoro
Kwa mtazamo wangu, tukiweza kujenga confidence vingine ni rahisi kukabiriana navyo
 
Back
Top Bottom