Tuliosoma shule za kata tukutane hapa

Tuliosoma shule za kata tukutane hapa

Shikamoo shule ya kata imenitoa mbali ...... Jina la bwana lihimidiwe ... Ova
 
Mpaka sasa nko university, shule za kata uimidiwe.
 
Shule ya kata inatimiza malengo yangu ya kuwa Engineer.

Hizi shule ukiona mtu 'kichwa' ujue ni kichwa kweli kweli,
 
Shule ya kata inatimiza malengo yangu ya kuwa Engineer.

Hizi shule ukiona mtu 'kichwa' ujue ni kichwa kweli kweli,

Ukiona mtu kaweza kufauru kwa kiwango kizuri akiwa shule za kata ujue angekuwa seminaries angefanya wanderz
 
Back
Top Bottom