Tatizo limebaki kwenye ajira ni ngumu mno na serikali yetu baguzi inatubagua sisi tuliosoma arts
Mkuu kama bado ujaajiriwa nakuomba fanya yafuatoyo.
1, usitumie mda mwingi kulamuum serikali, watu au mfumo wa elimu maana kufanya hivyo ni kujitegeneza maisha ya kukata tamaa.
2, kila siku pigana kutafuta mtaji kwa nguvu zako mwenyewe, na usiitumie elimu uliyopata kujisaminisha nakuanza kudharau kama siyo kuchangua kazi zakufanya,. kuna kazi nyingi sana hapa tz ninazoweza kukupatia mtaji kama wewe ni mchakalikaji wa ukweli.(kama uzijui hizo kazi niulize nitakupa fursa)
3, baada ya kugoma ndoto zako zakuajiriwa na serikali panga mipango mingine kutokana na mtaji unaoutafuta, na kama ukishapata kazi yakufanya jipe mda maalamu kufanikisha lengo lako(kama huna njia mbandala mimi nipo nitakupa fursa)
kwa maelezo zaidi utaniuliza.
Khantwe shemeji yangu kuna kazi nyingi hapo tz, zakufanya kama unaafya zuri ya kimwili na kiakili. au unataka nikutajie.
Ama kweli unaringa....nimeshasema sijui maana yake unitajie we unarudia kuandika kilekile ulichokiandika pale juu maana yake nini hiyo ka sio.dharau
Khantwe na ww umehitimu kwenye shule zetu hizi?
Ndio mkuu...
Dah hongera maana upo tofauti kidogo na wenzako
Hahaa utofauti wangu ni nini? Btw mi nimesoma zile zilizokuwa za mwanzo mwanzo kujengwa
Hapo sawa ndio maana upo hivyo basi
Sawa japo hujaniambia nipoje
Nitakuja chemba usijali
Nitakuja chemba usijali
Hivi una hamu ya ngumi?
Yan kuniambia tu ndo mpaka chemba?
Hivi una hamu ya ngumi?