Jamani ngumi tena! Mmmh hapana sina hamuu
Bazazi @ work.
Jamani ngumi tena! Mmmh hapana sina hamuu
Mmmmh...hivi eeh?
Hahahaa wii huchelewi?
Mmmmh...hivi eeh?
Mzima my wii sijui wewe....ila kumbuka hili jukwaa la elimu ohoo tusije tukatolewa nduki
Shemeji yangu Khantwe, Honey Faith BugURUBE Matola kumbukeni kwamba hapa tupo katika jukwaa la elimu,
Haya tumekusikia mwalimu wa nidhamu.Hivi wewe ulisoma shule gani vile?
Shemeji yangu Khantwe, Honey Faith BugURUBE Matola kumbukeni kwamba hapa tupo katika jukwaa la elimu,
Tatizo kubwa ni waalim pia teaching and learning materials ni tatizo hapo cha msing ilikuwa ni kukomaa na tuition..