Yah shule hz zimesaidia kwa kiasi fulan japo changamoto nyingi na zinaendelea mpaka kwenye levels karibu zote za maisha. Kwanza kwenye interviews lugha tumika ni kiingereza ambacho tatizo kwa waliowengi, lack of confidence, hii ipo mpaka maofisin.
Sometimes unakuta mtu anamawazo mazuri sana lkn inakua ngumu kuyatoa kwenye vikao sbb lugha mgogoro
Kwa mtazamo wangu, tukiweza kujenga confidence vingine ni rahisi kukabiriana navyo