Wakiti huo miaka ya 1990 kurudi nyuma ilikuwa hakuna kuhoji.Sasa kwanini unachapwa fimbo?kwani ni wewe unatafuta pesa?
🤣🤣🤣umeona eeh? Mimi siku moja niko nimebeba mfuko wangu wa daftari narudi zangu nyumbani nikakutana na mwalimu mkuu mlangoni akaniambia we unaenda wapi hebu kakae huko😁😁😁 nilimlaani si kidogoKuna muda ilikua unatamani waliorudishwa ungekua miongoni mwao