Tuliosoma shule za msingi kwa kulipa karo

Tuliosoma shule za msingi kwa kulipa karo

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
Tanzania tumetoka mbali saaana. Leo nimekumbuka enzi zile nikiwa Primary School kuna siku nilirudishwa nyumbani kufuata karo.

Kwanza kabla ya kurudishwa unachapwa fimbo za kutosha kama sita hivi
 
Sasa kwanini unachapwa fimbo? Kwani ni wewe unatafuta pesa?
 
Ingefaa useme shule za msingi za serekali tena kiswahili medium. Maana english medium za serekali na private zote bado wanalipa karo mpaka sasa
 
Saaana,sjui hiyo heshima sahivi imeenda wapi
 
Back
Top Bottom