Ni serikali ya watu iliyo undwa na watu kwa manufaa ya watu.Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia.
Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy ile kishuleshule?
Mi naikumbuka hii Democracy is the government of people, by the people, and for the peopleKishuleshule na sio kichuochuo..?
Kuna people people nyingi ambazo sasa hivi zimepotea zote kwenye definition😕😕Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia.
Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy ile kishuleshule?
🤣🤣 we jamaa utakuwa mkali wa Physics sio bureIs a system of government and leadership ship to supreme power to the people
Physics au siyo 😄🤣🤣 we jamaa utakuwa mkali wa Physics sio bure
People.Democracy means the power is belong to the peoples
Or
Is the system whereby peoples are allowed to participate in choosing their learders