Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

Mi niliipenda ile ya

Rule of law, means all people are equal under the law, all people must obey the law the governor's and governed
No one above the LAW. Hii ni moja kati ya viashiria vya upimaji wa uwepo na utekelezaji wa demokrasia
 
Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia.

Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy ile kishuleshule?
Abraham Lincoln is one among the best ever in defining democracy.....

As the government of the people by the people for the people 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pamoja na hiyo definition ya democracy ya weupe akina Lincolin kuna African democracy iloyojaa konakona. Mfano unaweza kuambiwa Rais akisema neno lolote tayari ni sheria!
 
Democracy is an English word derived from the Greek word demokratia whereby:
  • demos = people
  • kratia = rule

Therefore demokratia = people's rule or the rule of the people or the rule by the people.
Umenikumbusha jamaa mmoja among the best teacher ever in civics......

Alipenda kutufundisha sana.....

prerogative of mercy unaifahamu mkuu..

Umenikumbusha kitambo aisee...
 
Back
Top Bottom