Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

Wana jamvi yeyote mwenye riwaya ya HEKAHEKA iliyokamilika ya mwandishi Japhet Nyang'oro Sudi naomba tuwasiliane nimpatie bando anirushie...
Pia mwenye riwaya yeyote ya mwandishi huyu iliyokamilika naomba tuwasiliane
0672 910 165
0745 947276
 
Kikosi cha kisasi:

Uzalendo wa wana Afrika. Hii inaonyesha jinsi njia ya uhuru wa Afrika iliyokuwa ngumu na mwisho imeishia kupata uhuru wa bendera mpaka leo viongozi wengi wa Afrika ni vibaraka wa nchi za magharibi.
Hii ni kweli broo Mataifa aliotawala Mfaransa nasikia mpaka leo kuna mikataba ya Siri wanalipia ,tena pesa nyingi na ukibisha serikali ya kifaransa wanakufanyia zengwe.
 
Back
Top Bottom