Allan8
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 233
- 709
Kuna mtu anaitwa Patrick C.K huyu mwamba yupo vyema
Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli broo Mataifa aliotawala Mfaransa nasikia mpaka leo kuna mikataba ya Siri wanalipia ,tena pesa nyingi na ukibisha serikali ya kifaransa wanakufanyia zengwe.Kikosi cha kisasi:
Uzalendo wa wana Afrika. Hii inaonyesha jinsi njia ya uhuru wa Afrika iliyokuwa ngumu na mwisho imeishia kupata uhuru wa bendera mpaka leo viongozi wengi wa Afrika ni vibaraka wa nchi za magharibi.