Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar, Lindi, Mtwara, Morogoro, Pwani na Zanzibar

Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani.

Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, Kigoma.

Ukifika Singinda hauna haja ya kwenda Dodoma.

Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa.
 
Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar , lindi mtwara morogoro , pwani na Zanzibar

Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani.

Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, kigoma ,

Ukifika singinda hauna haja ya kwenda Dodoma.

Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa.
Madhari zinatofautiana lakini baina ya mikoa..!
 
Back
Top Bottom