Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar, Lindi, Mtwara, Morogoro, Pwani na Zanzibar

Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani.

Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, Kigoma.

Ukifika Singinda hauna haja ya kwenda Dodoma.

Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa.
 
Madhari zinatofautiana lakini baina ya mikoa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…