mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Nimekupata ila kumbuka Pemba ni Pemba na Unguja ni Ungujami zanzibar tayari, hivo na pemba inajifuta humohumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata ila kumbuka Pemba ni Pemba na Unguja ni Ungujami zanzibar tayari, hivo na pemba inajifuta humohumo
sema nini mkuu, huku nyaigela kama hujatahiriwa au kukektwa kutegemea na jinsia yako usikanyageHakuna shida mkuu, hata huko Nyaigela ntajitahidi nifike
Kuna siku nilitembea na mwanamke wa kipare aliye keketwa. Nilimhurumia Sana.sema nini mkuu, huku nyaigela kama hujatahiriwa au kukektwa kutegemea na jinsia yako usikanyage
maana hatukai na wenye hivo vitu
Nikifika huko ntalipia chumba mkuu uukague naimani majibu utapata kama umetahiriwa au bado.sema nini mkuu, huku nyaigela kama hujatahiriwa au kukektwa kutegemea na jinsia yako usikanyage
maana hatukai na wenye hivo vitu
mimi mikoa ya Tanzania siijuhi hata mmoja mi niko zangu huku Texas.Mimi bado Lindi, Mtwara, Rukwa na Kagera. Soon nitamalizana nayo
Tupe uzoefu wako