Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

Nilitembea kwa Muda wa zaid ya saa 12 (12 alfajiri hadi 2 usiku)
 
Mnazi mmoja ukonga routr yangu ya kukimbia hii nyt kali
 
kuna watu huwa wanasafirisha mifugo kutoka mnadani mpaka mkoa mwingine..
mfano juzi kati nimekutana na jamaa wanasafirisha ng'ombe kutoka mnadani mpunguzi mpaka iringa kwa miguu wako wanne tu af ngombe ziko xa kutosha tu... Siku nikiwa sia mishe nataka niunge msafara for fun kupata experience tu
 
Rudia soma alichoandika. Amesema kuwa kama Marathon km 42 mtu anakimbia kwa Masaa mawili na dakika. 100km huyu mkimbiaji atakimbia masaa 6. Hapo tumeondoa vikwazo kama kuchoka nk.

Hakuna mtu anaweza tembea km 100 kwa siku
Hawa wanaosema wanatembea km 100 kwa siku ni waongo.kuna mtu alishindwa kutoboa km 200 kwa Baiskeli Iringa to Njombe.Iwe anayetembea kwa mguu atoboe km 100 siku moja?
 
Nipo Mkuki house muda huu nataka kutembea mpaka Tazara then Tazara to Mwenge.Nikifika Buguruni. Naingia Ben napiga bia mbili nasepa mpaka tabata relini napiga mbili nasepa mpaka Riverside napiga mbili naanza mdogomdogo kumalizia Calabash
 
mi sijui ni umbali kiasi gani lakini nilitoka ushashi ginery hadi lamadi ili nikale miwa ya bure kwenye shamba la mjomba wangu aliyekuwa akiishi huko...bahati mbaya sana nikakuta alishaliuza hilo shamba!!
 
Miaka ya 2008 mpaka 2010 Ilikuwa kawaida yetu kutembea kutoka Bihawana secondary mpaka Dodoma mjini kwenda asubuhi na kurudi jioni. Bihawana secondary mpaka Dodoma mjini ni km 20 go and return ni km 40. Ilikuwaga ni kawaida kutembea Kwa miguu waliosoma Bihawana secondary wamenipata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
MBANDE to MIKOCHENI yaan Go & return..

Naona huruma Sanaa kwa kweli hii dunia Ina Maumivu Sanaa 😔 ☺️🙂
 
Nilikosa nauli nikiwa o levo ...so nkavaa suruali ya school na beg mgongon nkaaza mdogo mdogo nlitembea kama kilometers 20 kuna jamaa afsa mifugo alikuwa na boda yake akanipa lift...acha tule bata..tumetoka mbali
 
daa! itoshe kusema apa nipewe trophy yangu tuu maana nmetembea kutoka arusha town ad minjingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…