Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

Kutembea kilometa 100 kwa siku moja ni ngumu sana. Fikiria mkimbiaji wa marathon anakimbia kilometa 42 Kwa masaa mawili.

Sasa huyo mkimbiaji km 100 anaweza kukimbia kwa saa sita.

Sasa ndo mtu wa kawaida atembee km 100 kwa siku moja??
Mkuu saa sita tu hizo mbona mimi nimetembea mara nyingi tu
 
Rudia soma alichoandika. Amesema kuwa kama Marathon km 42 mtu anakimbia kwa Masaa mawili na dakika. 100km huyu mkimbiaji atakimbia masaa 6. Hapo tumeondoa vikwazo kama kuchoka nk.

Hakuna mtu anaweza tembea km 100 kwa siku

Ooh sawa kumbe nilisoma vibaya
 
Hapana, usilaumu msamiati wa Kiswahili wakati wewe hujui Kiswahili.

Kunuka ni odour.

Scent ni kunukia.

Smell ni harufu.
Kwa hiyo mtu akisema kwa kiingereza kuwa " You are smelling" , Kiswahili chake hapo tunasemaje kwa kutumia neno lililopo hapo juu? Na anayenukia ,na anayetoa harufu, kwa kiingeeza chake tutasemeaje, kwa kutumia maneno haya haya hapa juu kama ambayo umeyatafsiri wewe kwa Kiswahili?
 
English is a lingua franca that is a smorgasbord of a potpourri of a kaleidoscopic amalgamation of largely Indo-European languages.

Everything depends on context.
 
Mimi kM 90 hizi nimezipiga Sana imagine Naanza Safari kuanzia saa kumi na moja Alfajiri hadi saa tano asubuhi
Then saa sita mchana Naanza tena kurudi home bush nafika saa Moja usiku
Ukiplus unapata kM 90 per OneDay
 
Muongo huwezi.

Haya maisha bwana, acha yaitwe maisha tuu!!
Ulishawahi tembea hadi lapa linatoboka?! Basi nilitembea umbali ambao nikikaa nikitafakari huwa nalia!! Namuambia Mungu asante, kila nikiangalia nilipo sasa nazidi kumtukuza Mungu kwa kweli.. Huwa tunatoka mbali mnoo!
 
Rudia soma alichoandika. Amesema kuwa kama Marathon km 42 mtu anakimbia kwa Masaa mawili na dakika. 100km huyu mkimbiaji atakimbia masaa 6. Hapo tumeondoa vikwazo kama kuchoka nk.

Hakuna mtu anaweza tembea km 100 kwa siku
hisabati zake ni pendelevu kwa hoja yake.
tujaribu crosimatiplikesheni jibu haliji saa sita, kaongeza chumvi.

42KM = 2 Hrs
1000KM =?
utapata 4.7

kama kilometer 100 mtu atakimbia kwa masaa 4.7 na marathon huwa ni mdogomdogo je unadhani haiwezekani kutembea 100 km kwa masaa angalau 15 achilia mbali 24hrs?
 
Haya maisha bwana, acha yaitwe maisha tuu!!
Ulishawahi tembea hadi lapa linatoboka?! Basi nilitembea umbali ambao nikikaa nikitafakari huwa nalia!! Namuambia Mungu asante, kila nikiangalia nilipo sasa nazidi kumtukuza Mungu kwa kweli.. Huwa tunatoka mbali mnoo!
pole mkuu.
kauli hii inathibitisha wata wanaolia sasa wenda nao kuna siku watakumbuka machozi yao kama wewe baada ya kutoboa mkuu sakayo
 
English is a lingua franca that is a smorgasbord of a potpourri of a kaleidoscopic amalgamation of largely Indo-European languages.

Everything depends on context.
mkuu umeanza vitisho sasa😡😡
unajua ulichoandika hata mzungu ambaye hajawahi kutoka nje ya London tangu azaliwe hawezi kukuelewa 😁😁
 
Mimi nilitembea Kwa miguu kutoka nepal hadi india
Border to border Siku tano mapori na milima tulipotea Siku ya tano ndio tunaona kijiji upande wa india
Tulilazimika kufanya hivyo tulifanya matatizo ubalozini Nepal tukakimbia
Si unajua wabongo hawashikiki bwana
 
mkuu umeanza vitisho sasa😡😡
unajua ulichoandika hata mzungu ambaye hajawahi kutoka nje ya London tangu azaliwe hawezi kukuelewa 😁😁
Kuna watu wengi wamezaliwa London na hawajawahi kutoka London na hawajui Kiingereza.

Wanaongea na kuandika "Cockney".
 
Hivi jamani... Ifakara hadi Mkuranga ni KM ngap? Nawa-zoom tu wanaosema sijui KM 70, mara KM 100, mara sijui Kigogo hadi Tabata... Eti mmetembea umbali mrefu! nyie wote ni watoto wa mama.

hakuna watembeaji kam wachunga ng'ombe. (Ngoja tu nisiseme sana msije mkatengua kauli zenu kabla jogoo kuwika).
 
boss wachungang'ombe wangekuwemo humu tungewaachia uzi. wale hata dodoma cairo kwa mguu wanazama
 
Back
Top Bottom